Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
jana nimeweka timu 10 first half under 2.5 ...birmingham akapita nao.....dakk 33 ana goli 3.... ikabidi nikanywe Konyagi nipate usingiziavogadro .. under 2.5 goals first half ni possible kutokea mara nying lakini ukiweka timu chache (labda 5) kwa kufanya intensive statistics itasaidia kuwin..
Droo first 10 minutes ni ngumu sana kwa timu 10.. ukiangalia roughly statistical data ambazo zipo kwenye mtandao zinaonyesha possible goals scored kwa kila dakika ya game karibu zinakaribiana hivi na kwa maana hyo ukichukua game kumi ukaplace droo ndani ya dk 10 nafikiri utakuwa unajaribu kuona meno ya kanjibai kwenye giza.. sikushauri mkuu kwa hii draw 10 minutes kwa game 10 au hata 5..