Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Umemkosesha hela mwana ... 60' Barca 3-1 Leicester City

Hela ipo buddy. hizi mechi za kirafiki sio za kuziamini sana. Unaangalia na aina ya mechi kaka. nilitaka nimwambie acheze over 1.5 goals first half ambayo ilikua na 2.2 odds angekua safe side. asiwe na hofu tu. Kesho pia Sassuolo lazima afungane na Luzeln au Midjiland lazima atoe over 1.5 goals first half. Brondy b lazima amfunge heltha berlin. Yan hadi nashindwa nimchukue nani. Ngoja niwachambue wakina Tauro kwa ajili ya week end kaka, nitengeneze kokolo la 30k kwa m2. Huku nikitafuta mbili kali la kujilipua week end.
 
Yaaan Bate jana kapigwa kama mbwa mwizi dahh.... izi game za qualifications team ikiwa away sio yakuamini sana....unless iwe team kubwa
 
Wakuu ngoja mi nilala kanjibah leo kala robo mtaji naona siku sio nzuri
 
yaan nimenyooshwa 35000/= within no time, kuna kanjia kamoja nilitumia ...nilichukua timu zilizo na odd isiozidi 9 katka option ya GGGG nikazipa GG au Y nikatupia mkwanja napo nikanyooshwa japo kwa mbinde ila kanjibahi alifanikiwa,
sahizi nipo dailema sijui hata nitumie njia gani ili nirudishe mkwanja wangu ,maana hela kibao imeliwa yaani mbaya zaidi upepo sina kabisa kwasasa ,
meeridian zimejaa Alama nyekunduu tuu hakuna jipya..
NATANGAZA LASMI NI MWENDO WA KUDESA TUU MAANA KAMA NIMESHINDWA MIMI NGOJA NITUMIE UPEPO WA WAKONGWE KATKA UZI HUU..

 
Huu mchezo lazima unywe dicloper ngoja nisubiri EPL ianze

Ligi ikianza kunauwezekano mkubwa sana kuliwa na kanji kuliko kipindi hiki kaka. Ligi kubwa hizi hazina mechi nyepesi kaka. Alaf kitu kama Y au GG kukipata ni nadra sana. Angalia ligi ya ufaransa na Urusi ilivyoanza. Mechi karibu zote zinaisha suluhu ya bila kufungana.
USHAURI KWA WOTE, KAMA UNAWEZA KUBET WW BET TU HATA KIPINDI HIKI.
 
Football-Betting-markets.jpg
 
Yaaan Bate jana kapigwa kama mbwa mwizi dahh.... izi game za qualifications team ikiwa away sio yakuamini sana....unless iwe team kubwa
exactly! timu yoyote ikiwa away, hata kama ni timu kubwa, jitathmini sana kabla ya kuipa ushindi.
 
Back
Top Bottom