Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
meridian wameshaanza server error..... narudi zangu premier
Premier mimi siku hizi inanigomea kabisa ku log in siju n kwa nnmeridian wameshaanza server error..... narudi zangu premier
yaani hawa rangers ni maQUMER sijapata kuona....hadi sasa dk 60 wamepigwa kimoja na hawaoneshi uhai wa kuchomoa....huu umechanika, ngoja nianze upya.
Washachomoayaani hawa rangers ni maQUMER sijapata kuona....hadi sasa dk 65 wamepigwa kimoja na hawaoneshi uhai wa kuchomoa....huu umechanika, ngoja nianze upya.
Hahahaaa...yaani hawa rangers ni maQUMER sijapata kuona....hadi sasa dk 65 wamepigwa kimoja na hawaoneshi uhai wa kuchomoa....huu umechanika, ngoja nianze upya.
mkuu, mchezo gani huu? basketball au rugby?msije kujilaumu baadae kwa kupitwa na hii. timu mbili point mbili then mzigo.
basketmkuu, mchezo gani huu? basketball au rugby?
Hahahahah!!! Ni noma aise 90/100% Lost Duh!!
Ngoja niwasaidie kuomba angalau mpate kuliko kukosa wote..Rangers yupo kwenye mikeka yangu yote. Yaani maombi yanahitajika
pole sana mkuu. ndio ukubwa huo, usife moyo...jikaze kisabuni.
pole sana mkuu. ndio ukubwa huo, usife moyo...jikaze kisabuni.
Ni kosa la JINAI kurudia rudia timu zaidi ya MKEKA mmoja Pole usijaribu tena na huyo pepo ashindwe na alegeeRangers yupo kwenye mikeka yangu yote. Yaani maombi yanahitajika
mkuu hauko peke yako....kila mtu anajuuuuuuuuuuuuuuta kuwafahamu rangers! pole kwetu wote tuliolizwa.Rangers yupo kwenye mikeka yangu yote. Yaani maombi yanahitajika
Hauoni kama BET LOSTNgoja nidokoe zangu hapo kadhaa mkuu
bet lost but I am still as HAPPY as always coz this game does not require any ANGER. let me try my luck once again.
Kweli kabsa huu mchezo wa kurudiarudia timu ulinikost sana zaman.......cku iz siufanyiNi kosa la JINAI kurudia rudia timu zaidi ya MKEKA mmoja Pole usijaribu tena na huyo pepo ashindwe na alegee
Niko Off wakuu mtaji umekataa. Siku nikirudi nakuja na kizizi cha babu..
#I'll BE Back Soon!!