Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

uploadfromtaptalk1470515601462.png
 
nayakubali sana makokoro yako mkuu ila ingekuwa ukawa unayaweka mapema wadau wakachambua wanazoona znafaa ni wazo tu mkuu,nimekuwa nilifuatlia kitambo unajitahid sana kuchhambua aisee naomba kuwasilisha
Ucjali kuanzia kesho nta2pia
 
angarau sasa daa huyu kanji alinikalia kooni yaani mie na deposit tuuu daily
upload_2016-8-7_1-27-5.png
 
nachukua timu chache chache hadi kieleweke odd kubwa siiogopi maana nikichukua od ya 1.18 napigwa bora kumuendea hvi
upload_2016-8-7_1-32-47.png
 
Daaaah ....baaada ya kupigizwa mchana kutwa.... Nkatulia wa jioni kabla mechi hazijaanza.... Dooooh
 
Attachments

  • Screenshot_2016-08-07-05-50-14.png
    Screenshot_2016-08-07-05-50-14.png
    32.6 KB · Views: 35
I know Betting is not so easy mzee mwenzangu Lo@dinv,lkn endelea kuwa nami tips za mechi according to odds then utaproove kwa zaidi ya 80%
 
Daaaah wakati watu mnalalamika bahat nzuri jana nliwafuata bancocep kwa basket na liver over 2.5 na championshp kadhaa wamenipa mtaji mzuri wa kuanza wiki. Natafuta odd 5 tu kwa leo nawasubir banco waweke utabiri wao nichanganye na wangu
 
Mkuu, usisahau kutupia humu.
 
Back
Top Bottom