Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Safi mkali buddy. Nilikua bize na inplay siku mbili tatu hizi. Ila mda wa kokolo umewadia sasa. Hata kama tunajilipua hatuwezi kuacha asili yetu bwana. ligi nyingi zimeanza ngoja na mm niandae kokolo la 10k kwa m2. Naanza kuzichambua leo babaake. KOKOLO FOR LIFE.
Hahahaha ... nimeipenda hiyo "hatuwezi kuacha asili yetu ..." kokolo linafaa siku ya timu nyingi, hasa siku za Ijumaa, Jumamosi & Jumapili. Ipo siku tutamshangaza kanjibah ... Mark my words.