Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dakika ya 8 bate anagoli 2 kazi n kwako either zero bet au next goal to score vyote mpe bate tulimwogopa bure
afadhali mimi niliyejitoa mhanga....bate ni timu kubwa ila samtaimz inazungua.
 
Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia. Wakati huo nilikuwa nipo kwenye simu yangu nachati na mtu Whatsapp. Basi ile nikasogea karibu kujua nini kinajili na watu washaanza kujaa. Yule mama kumbe kaibiwa simu. Mara kuniona mimi akasema simu yake aliyoibiwa mimi ndo nimeishikilia. Watu wakanivamia kuanza kunipiga. Bahati nzuri maaskari wakatokea. Wakatuchukua wakatupeleka polisi kijitonyama. Kufika Kijitonyama yule mama akaambiwa apige simu yake ikaonekana kwamba kumbe aliiasahau nyumbani sababu aliipokea mdada wa kazi. Yule mama alidhani mimi ndo nimemuabia simu sababu simu yake na yangu zinafanana. Sasa akaanza kuniomba msamaha. Polisi wakashauri kwamba tuelewane. Huwezi amini yule mama akataka kunipa milioni moja cash. Bahati mkojo ukanibana ikabidi niamke kwenye hii ndoto na kwenda kujisaidia. Yaani nimeudhika sana huu mkojo unenikosesha milioni moja. Sirudii tena kunywa maji mengi kabla ya kulala. Ili ni funzo kwa watu wote kabla hujalala usinywe maji maana unaweza kosa dili ndotoni..​
 
Nilishapanga mbinu za kukuomba stake za kesho na hizo million😡😡😀😀
 
tuwekee mikeka apa acha mambo yko bhana ya babu mkombe
 
hahahahaaaa umenifanya nicheke tu maan ninamachungu na kanji
 
Nashindwa kuelewa bankocep wanatumia nini kubashiri gemu zao maana wapo vizuri sana na hata kama wakikosea unakuta na mara chache sana, kwa leo walio wafuata ni hela mwanzo mwisho, mungu ajalie na kesho iwe kama leo tutengeneze pesa
 
jamaa wako poa sana aisee wanajitahidi kwa kiac kikubwa
 
Back
Top Bottom