Mzawa asilia
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 416
- 204
Jamani habari za asubuhi wadau naombeni tatu za over m-bet
Bangkok
Odd bulkbub
Gotenburg
Jamani habari za asubuhi wadau naombeni tatu za over m-bet
good news
Naona meridianbet wameimprove kutoa hela (Withdraw) ... nlitoa hela jana saa 1 na nusu usiku (1930hrs), leo nmeamka saiv (0800hr) nakuta imethibitishwa ... Great !!
Mkuu kampuni gani hiyoNakufa hivi leoView attachment 364783
Asante sana mzawa asiliaBangkok
Odd bulkbub
Gotenburg
Premier betMkuu kampuni gani hiyo
Nakufa hivi leoView attachment 364783
Nimeweka kipind cha kwanza ureno aongoze hapoHiyo game naona clevertips.com wameipa ushindi au draw Ureno pia (i.e. 1X) ... ila nina mashaka km Portugal anaweza kushinda hiyo game.
View attachment 364797
Ufaransa lazima wabaki na kombe lao. I bet that!
Mh! Na utaweka pesa?Nimeweka kipind cha kwanza ureno aongoze hapo
Hongera mkuu!
tunaenda njia moja chief,Chiangrai United v Bbcu FC hiyo ni mechi Ya Thailand wadau.. Premier wameipa 2.49 kama Y au GG. Mm wakujitoa ufahamu tayari nishaweka 300K. Maana haina namna, kama Kanji kumla nishamla sana na nayeye kanila sana tu. Kilichobaki ni kujitoa ufahamu. BOLOGNA aka jicho la Y au GG......... ...
Hehe..hongera mkuu, naona kanjubay kajisahau alienda kumpokea waziri mkuu wao.
Namna gani Yamaga anataka kuharibu sherehe hapa, tuyabinye aisee hali si hali.Matsumoto Yamagata Win
Odd 1.67
Stake 300,000