Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2016-7-9_20-42-20.png

BET WON..........ila Inter aliharibu ule mwengine
 
Duh inter Milan ni wakutoka dro kweli hata kagoli ka moja[emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Nashindwa kujisajili na MKEKA bet nafatatibu zote nikifika pale kwenye tarehe najaza vizuri nikimalizia nakutana maandishi mekundu juu [name=invalidDob Error]nashindwa kuelewa nimekosea wapi
 
Utakuwa umekosea hapo hapo kwenye nyekundu mkuu....
 
Nashindwa kujisajili na MKEKA bet nafatatibu zote nikifika pale kwenye tarehe najaza vizuri nikimalizia nakutana maandishi mekundu juu [name=invalidDob Error]nashindwa kuelewa nimekosea wapi
Na mimi wameniletea maneno kama haya
 
Back
Top Bottom