Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya vetting ya kina, nawaleteeni kokoro la haja, weka 8K uamke na 4M.
9ed703396a1426679d24a642c9078ddd.jpg

Hivi hizi saa za Kuanza Game za Premier zimekaaje? Zinachanganya kweli!![emoji22]
 
Hahaha..za Premier uwe unaongeza masaa matatu mbele, mfano wakikuandikia 1830hrs (saa kumi na mbili na nusu jioni) wewe ongeza yako matatu ya kichwani, kwa hapo itakuwa 2130hrs (saa tatu na nusu usiku) muda halisi.
 
Ahhahahaha! Daaah!
Ila inabidi warekebishe.
 
Ahhahah, Nitake radhi kwa kweli.....Nina "B" yangu ya nguvu Geog O level......Haijaonyeshwa hiyo GMT na tena pale juu imewekwa Time ambayo ipo sawa na sisi East Africa.

Miaaaa...Ngoja tuendelee kumsaka Mhindi.
Nshapigwa za USO na MR.OULU... UMEBAKI MMOJA WA 2+ anapita nao viking vs stromsgoest
 
Back
Top Bottom