Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naanza hivi asubuhi hii
bdf4342bb2766ed7d3fb127bd332fd39.jpg

E jamaa nihatari
Nakupa big up kwa kweli
 
FK Mlada Boleslav - FK Viktoria Zizkov
Over 1.5 goals (Half time)
Odds 1.96
 
leo ilikua siku nzuri sana kwa mtu aliyetulia katika kubet. Naona timu nyingi zimetoa magoli yakutosha. Kanji hasusiwi, ili umle lazima ubet. Limerick na UCD wote wametoa Y. daah inaniuma sana maana walipewa 2.3 na 2.2, kesho ngoja niamke alfajiri nianze kuzichimba timu kiyakinifu.
Timu 21 ,2+ kaua Liverpool .... Na nilitulia kuliwa kuliwa tu haina kutulia
 
Back
Top Bottom