Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,984
Hhaaaaaaa! Kaka uko fasta sana, asante sana kaka huwezi amini nishakataa tamaa. Dk ya 93 Astana wananipatia faida ya laki tatu na kumi elfu.Hongera mkuu, sipati picha ulivyokuwa umeyabinya.
Asanteni kwa maombi yenu