Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
sina hamu na australia
vp astana anacheza leo
Astana huyo simuachagi kwnye mikeka yangu. Naunda mwingine hapa yumoooo
sina hamu na australia
vp astana anacheza leo
ebu nipe odds mbili.Astana huyo simuachagi kwnye mikeka yangu. Naunda mwingine hapa yumoooo
Aaaaha!nawasivyokuwa na hiana tengeneza kokolo lako hata la mil 40 wao wanakusubiri kwenye rangi ya kijani&nyekundu...wako poa
Hahaha ... sijajua ukitoa mtonyo inachukua muda gani, lkn kwa Odds na Options tuu ... nawakubali sn.
Pole Chief, Oakleigh Cannons kambwela leo ... mxiuuuuuuuuuu
ebu nipe odds mbili.
Ukitoa weekend utaipata j3 asubuhi kabla ya saa6.... Siku za kawaida ni 24hrs...Hahaha ... sijajua ukitoa mtonyo inachukua muda gani, lkn kwa Odds na Options tuu ... nawakubali sn.
Nilicheza 2+ nikaweka buku 8sina hamu na australia
vp astana anacheza leo
Nilicheza 2+ nikaweka buku 8
Naangalia matokeo dk ya 30 Astana kashampiga mtu 2:1 bora ningeweka kilo
Bro nakuombea na nadhani unapga hyoJamani hii mechi ya Astana HT wapo 1:3 Mhindi kaweka over 5.5 odd ya 2 mimi nimejitoa mhanga nahitaji goli mbili tu kipindi cha pili.
Stake 300,000, maombi yenu ni mhimu pia
NimejilipuaJamani hii mechi ya Astana HT wapo 1:3 Mhindi kaweka over 5.5 odd ya 2 mimi nimejitoa mhanga nahitaji goli mbili tu kipindi cha pili.
Stake 300,000, maombi yenu ni mhimu pia
Vipi ikopoa kakaNimejilipua
Iko fresh ina odd ya 1.98Vipi ikopoa kaka
Ukitoa weekend utaipata j3 asubuhi kabla ya saa6.... Siku za kawaida ni 24hrs...
Hongera mkuu, sipati picha ulivyokuwa umeyabinya.Jamani hii mechi ya Astana HT wapo 1:3 Mhindi kaweka over 5.5 odd ya 2 mimi nimejitoa mhanga nahitaji goli mbili tu kipindi cha pili.
Stake 300,000, maombi yenu ni mhimu pia