Naanza hivi Leo![]()
Naombeni Odds 2, hali ni mbaya na weekend ndo hiyoooooo ....
Mimi hizi near misses za kila siku zimenichosha ... kila siku kuwe na mchawi tu, khaaaaa. Ukiweka timu chache ni nongwa, ukiweka nyingi ni nongwa ... sijui tufanyeje.
View attachment 364147
Haba na haba, maana mambo yashakuwa magumu aisee!Asante sn Chief ... mkeka #2 ngoja nibembeleze kwa style hii (Tusishangaane kwenye Odds tafadhari, hii inatokana na Upungufu wa Confidence Mwilini - UCOMWI).
View attachment 364163
Haba na haba, maana mambo yashakuwa magumu aisee!
duuuh..... hivi hamsomagi vigezo na masharti vya makampuni mnayojiunga!!!! kama hamsomi basi hata kugoogle!!!! ..... sasa kama la kudeposit tu unashindwa wakati ipo chini tu ya account name yako!! na walivyo na option mpaka 150..... tutakoma maswali.....unadeposit vp premier bet,nimejiunga leo huko.
hawataki kujishughulisha, na sidhan kama wataambulia chochote kwa kanji kwa hy speed yao..... < UCOMWI >duuuh..... hivi hamsomagi vigezo na masharti vya makampuni mnayojiunga!!!! kama hamsomi basi hata kugoogle!!!! ..... sasa kama la kudeposit tu unashindwa wakati ipo chini tu ya account name yako!! na walivyo na option mpaka 150..... tutakoma maswali.....
duuuh..... hivi hamsomagi vigezo na masharti vya makampuni mnayojiunga!!!! kama hamsomi basi hata kugoogle!!!! ..... sasa kama la kudeposit tu unashindwa wakati ipo chini tu ya account name yako!! na walivyo na option mpaka 150..... tutakoma maswali.....
hawataki kujishughulisha, na sidhan kama wataambulia chochote kwa kanji kwa hy speed yao..... < UCOMWI >
sina hamu na australiaDaah UCOMWI noma ... hata Australia leo wamechanaaa ...
Wasaalam waungwana,LEO NIMEJIUNGA PREMIER BET...Hahhahahahhah,aisee Wako Vizuri....kumbe ndo maana MTOTO WA NZI hachomoki kule, Mr Wise naye kang'ang'ania...hahah
Buddy naye namuona kule nowadays...hahha
Ngoja niTEST zali,wanaweza kunionea huruma na upya wangu.
Aaaaha!nawasivyokuwa na hiana tengeneza kokolo lako hata la mil 40 wao wanakusubiri kwenye rangi ya kijani&nyekundu...wako poaWasaalam waungwana,LEO NIMEJIUNGA PREMIER BET...Hahhahahahhah,aisee Wako Vizuri....kumbe ndo maana MTOTO WA NZI hachomoki kule, Mr Wise naye kang'ang'ania...hahah
Buddy naye namuona kule nowadays...hahha
Ngoja niTEST zali,wanaweza kunionea huruma na upya wangu.
Duuuuu ocla kazingua ila Leo naona sio siku mbaya ngoja mwendo wa timu mbili mbili hadi mwisho wa sikuNaanza hivi Leo![]()
Duuuuu ocla kazingua ila Leo naona sio siku mbaya ngoja mwendo wa timu mbili mbili hadi mwisho wa siku