Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mnaweza kuzicheza online zile ambazo zishaanza nilisahau kuweka mapema.
7493669db59acced433a552999400023.jpg
Dah..AEK kampenda zaidi Kanjubay, alibakia yeye tu.
 
upload_2016-7-7_23-33-3.png
bettingtips.com ni nyooko walijuajee hawaforebet ni wazushi zaid hahaa
upload_2016-7-7_23-35-39.png

forebet.com
 
hizi tips ni uzush,,,hahahahaaa
Tips ni kama ww unaweza kupatia timu au kukosa...hawana majibu ni kama ww tu sema wao wanakuwa na taarifa zaidi ya mechi nyingi hasa kikosu kinachoanza. Tabia na upinzani wa mechi basi wanabahatisha hapo. .kwa leo France alikuwa anaonekana kushinda
 
Yani timu nyingine bana ... hadi half time wameenda 2-0, walishindwaje kipindi cha pili kupata kagoli kamoja tu mie nifute machozi na haka ka 65K?? grrrrrrrrrrr

upload_2016-7-8_0-1-53.png
 
Yani timu nyingine bana ... hadi half time wameenda 2-0, walishindwaje kipindi cha pili kupata kagoli kamoja tu mie nifute machozi na haka ka 65K?? grrrrrrrrrrr

View attachment 364028
BUDDY bora umehamia huku premierbet maana huku uwezekano wa kumpiga ni mkubwa kuliko kule mkekabet maana wanapunguza option
 
Huyu kanjiba atafilis sasa sjui tufanyeje, kuacha nakoningumu du !
 
Back
Top Bottom