Neron
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 461
- 360
shwari mkuuHabari za jioni wakuu?
shwari mkuuHabari za jioni wakuu?
salama chiefHabari za jioni wakuu?
All the best chief...Najaribu zali;
Germany HALF TIME DRAW
Odds 1.91
tumpe german nadhanLeo tunatokaje hii mechi ya Germany vs France?
uwe unaweka kabla hivyo haina maana zaidi ya kujifurahisha mwenyewe...View attachment 363959
BET WON kabla game haijamalizwa
FC Shakhter Soligorsk - NSI Runavik (OVER 1.5) Half timeuwe unaweka kabla hivyo haina maana zaidi ya kujifurahisha mwenyewe...
una bahati ya kushinda ila hutupi hyo nafasi sie tulie lala na bundii..
ikumbukwe huu mchezo hauhitaji hasira
kwa udhamin wa kanjibahi....
hongera....,,,,
Ushapigwa mapemasuduva win/draw odd 3.3
draw no bet: suduva win odd 8.5
correct score 1-1
hii ni hasira baada ya schalke kupewa odd za kufa m2 afu akazngua .. midtjyland akipigwa ndio itakaa vizuri zaid
Hapo ni france/draw weka hata nyumba tutakula kiulaiiiiiini! Ni hayo tu Titaonana keeeeesho!!! ¡!¡!!!!!Leo tunatokaje hii mechi ya Germany vs France?
View attachment 363959
BET WON kabla game haijamalizwa
Hongera mkuu, sio kwa kuyabinya kule ila...heheheFC Shakhter Soligorsk - NSI Runavik (OVER 1.5) Half time
Zimebaki hizo mbili za juu pekee, nahisi kuzimia, ila hata nikipigwa sawa at least upepo umeanza kurudi (najifariji).Mnaweza kuzicheza online zile ambazo zishaanza nilisahau kuweka mapema.
![]()