Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi Mr Wise, Nakupongeza kwa ushindi unaopata Hata
Kabla ya Mechi kuisha....

Ila ugomvi wangu kwakoni mmoja tu

UNA POST AFTER RESULT..........sasa wengine tunaishia kuangalia Won tu.

Nakuomba uPost kabla ya mechi kuanza,ili utusaidie ndugu zako....hahahhaahahhahahahahahahahahhhhajaha


Hahahaha ...
 
Friend match Guangzhou Evergrande Vs Schalke 04
away 4+ goals
 
Ni hao hao
Hapana, aliowafunga majuzi ni hawa;
408574653f0ad263fb43ad1399821fc9.jpg

Na anaocheza nao leo ni hawa;
3de51b05071f032bd7872342f1808c8b.jpg
 
Wazee wenzangu kwa anayejua Baseball.
Mkekabet option zao wanaweka "Race to 2, Race to 3 mpaka Race to 7" please kwa anayejua anitafsirie hizi option
 
Back
Top Bottom