bologna
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 1,489
- 1,432
mr wise tupia mikeka. kubet nimchezo unaoendana na upepo. kunasiku wakusoma anakua na upepo wa mikeka, siku nyingine Buddy, siku nyingine mm mwenyewe, siku nyingine mtoto wa nzi. Naona wiki hii bahati imedondokea kwako. weka mikeka vijana waC&P maana mm nishapoteza 700k ndani ya siku 2. NIPO MAPUMZIKO HADI MECHI ZA KIRAFIKI ZIISHE .