Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daah, kanji ndani ya mwez nilimpiga m4 na ushee, ila jana bundi alilala dirishani kwangu. kanipiga 600k bila huruma. nilitoa Y mechi mbili za kirafiki nikaweka 300k kila timu, matokeo yake zikashinda ushindi mkavu. Sio Inshu, Leo mechi mbili za uhakika zenye Y ni
Montedio Yamagata v Roasso Kumamoto Y odd 1.99
Stake 100k

Lincoln FC v FC Flora Tallinn Y odd 1.83
stake 100k
Hii mechi ya lincoln ni ngumu ila wote watahangaika kutafuta magoli.
Ndugu nielekeze namm hiyo y , k sielewi mm mjanja wa mikeka ila hii mpya
 
Today Its Goals Goals Goals Everywhere.
Nimecheza Hapa Nabana Mapoumbou!
 
Ndugu nielekeze namm hiyo y , k sielewi mm mjanja wa mikeka ila hii mpya
Mjanja wa mikeka uwe unapitia na post zilizopita majibu yalishatolewa ..
Y...both team to score
Timu zifungane
Ukiuliza na GG basi tutakubadilisha jina...
 

Respect sn braa ... unamdokoa vilivyo
Jamani, kesho kuna mechi 44 za EUROPA, hivi kweli kati ya mechi zote hizo watu wote humu tukose hata 10 tu za kuwekea 5000 na hivyo kurudisha mtaji!!??
 
upload_2016-7-6_19-38-50.png


Again BET WON before game haijaisha
 
Mjanja wa mikeka uwe unapitia na post zilizopita majibu yalishatolewa ..
Y...both team to score
Timu zifungane
Ukiuliza na GG basi tutakubadilisha jina...
Heshima yako basi ilikuwa kueleesha tu sio kubadilishana majina
 
Jamani, kesho kuna mechi 44 za EUROPA, hivi kweli kati ya mechi zote hizo watu wote humu tukose hata 10 tu za kuwekea 5000 na hivyo kurudisha mtaji!!??
Aaaaha! Wiki iliyopita zilikuwepo kama hizo hizo...kilichotokea unajua
 
Tujaribu hapa :
Fc Viktoria Plzen - FK Usti Nad Labem
OVER 1.5 (First Half) odds 1.61
1. FC Wunstorf - Hannover 96
OVER 1.5(First Half) odd 1.74

Cheza single single kama una stake nzuri.


Mr Wise ningefuata hizi odds 2.8 saiv nisingekuwa na majuto aliyonipa Kumamoto. Daaah huu mchezo kuna kitu tunakikosea ndo maana tunajuta daily.
 
Mr Wise ningefuata hizi odds 2.8 saiv nisingekuwa na majuto aliyonipa Kumamoto. Daaah huu mchezo kuna kitu tunakikosea ndo maana tunajuta daily.
Yani sijaelewa kwann uliacha iyo pesa ya adharani
 
Kwa stake ya sh ngap anayoweka??aoneshe na stake mbna anakata stake sasa ...anaeka jero anakula buku buku tu huyo


Hahaha wabongo bana ... wewe mbona huonyeshi hizo unazoshinda? Stake ni uamuzi wa mtu ... hata km anaweka jero jero kikubwa anamla Kanjibah. Hatua 1000 huanza na 1
 
Mi Mr Wise, Nakupongeza kwa ushindi unaopata Hata
Kabla ya Mechi kuisha....

Ila ugomvi wangu kwakoni mmoja tu

UNA POST AFTER RESULT..........sasa wengine tunaishia kuangalia Won tu.

Nakuomba uPost kabla ya mechi kuanza,ili utusaidie ndugu zako....hahahhaahahhahahahahahahahahhhhajaha
 
TZS 100,000.00 on Lincoln Red Imps FC @ 2.00

Placed On: 03/06/2016 18:10

Bet Type: Single

Settled (Y/N): No

Total Stake: 100000

Payout: 0


Event: Lincoln Red Imps FC v Flora Tallinn

Market: Draw No Bet

Selection: Lincoln Red Imps FC

Price: 2

Ngoja nijaribu tena
Bet won. Mhindi ananibembeleza nirudi mchezoni.

Cc.
Buddy
Sumve
Bologna
Mtoto wa nzi
Mr wise etc
 
Mi Mr Wise, Nakupongeza kwa ushindi unaopata Hata
Kabla ya Mechi kuisha....

Ila ugomvi wangu kwakoni mmoja tu

UNA POST AFTER RESULT..........sasa wengine tunaishia kuangalia Won tu.

Nakuomba uPost kabla ya mechi kuanza,ili utusaidie ndugu zako....hahahhaahahhahahahahahahahahhhhajaha
Ukweli kabisaaaa ajirekebishe mana ss sote lengo ni moja!!
 
Back
Top Bottom