Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Hehe...kweli mchezo hautaki hasira huu, naikumbuka vizuri sana siku ile mpaka timu za Estonia wanaofungana magoli hata 10 siku ile likakomea goli moja, Australia the same, mala Wa kusoma akatoa tamko, sina hamu.Sio jambo la kucheka lakini umenichekesha sn Sumve2015. [emoji38][emoji38][emoji38], yn achana na kipigo cha mfululizo aisee ... mm nlikuwa cjawahi kukionja, nimekionja majuzi hapa.
Kaka unaweza jiuliza umemkosea nn muumba! Mimi eti hata timu ambazo huwa zinatoa magoli mengi cku hiyo wakapewa 2+ odd ya 1.2 Kanji akaila 100K yngu