Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah pole halafu kipindi cha pili ndo kapata goli 3 kabisa
upload_2016-7-5_18-14-25.png


BET WON, muda ule Sikupata usingizi nikaamka na kuweka mikeka miwili ya kulalia yote nimemramba
 
Buddy nataka kurudi nipe odd 2 tu


Hahahaha ... hii addiction mbaya sn aisee. Mi mwenyewe najipanga kurudi weekend. Nna hasira na Kanjibah hatareeee
Ningecheza hivi ...

- Mlada Boleslav - I1 (1.72)
- Austria Lustenau - home time goals 2+ (1.69)
--------------------------
Total Odds = 2.91

Au

- Nurnberg Wacker (1.51)
- First Vienna (1.30)
- Sonnenhof (1.33)
Goal in both halves - YES
--------------------------
Total Odds = 2.61
 
Alinipiga km kilo 4 za haraka haraka ndani ya cku 4 hv mpk nkawa naona giza. Kila nkitia mguu napokea ya uso [emoji28][emoji28]
Noma sana...ila ukishajua kua betting ni biashara kama biashara zingine na biashara yoyote kuna faida na hasara(kuna kula na kuliwa) utaumia kidogo na kupotezea, maana hawez kukula milele lazima nayeye umnyooshe sehemu na ku recover. Huwezi amini jana usiku kanipiga lak3 za ghafla, nikaaga nalala but usingizi haukuja nikaamka nikamtega nikarudisha changu
 
Leo nacheza
Nimewapa hapo juu mnadhani natania, ile pesa ya nje kabisa mwaweza cheza hata under 3.5 kama mnahofu na 2.5, mfano saizi iyo inayochezwa piga ua hawawezi vuka magoli mawili maana anayeongoza tiari yuko na red card na yuko home mechi ya kwanza wali0-0.
 
Alinipiga km kilo 4 za haraka haraka ndani ya cku 4 hv mpk nkawa naona giza. Kila nkitia mguu napokea ya uso [emoji28][emoji28]
Kaka mimi nilipigwa karibia 2m last week.

Yaani mpaka leo sijielewi kabisa
 
Nimewapa hapo juu mnadhani natania, ile pesa ya nje kabisa mwaweza cheza hata under 3.5 kama mnahofu na 2.5, mfano saizi iyo inayochezwa piga ua hawawezi vuka magoli mawili maana anayeongoza tiari yuko na red card na yuko home mechi ya kwanza wali0-0.



Hahahaha ... kaka wameshapiga 3-0

upload_2016-7-5_19-52-3.png


Chief, kwa Kanjibah inabidi kumwendea kwa utulivu 100% ... hakuna hela ya nje nje

 
Kaka ungempa ushindi wa moja kwa moja Astana. Wanaweza sn hawa jamaa ... ktk game 10 atakuangusha game 1 au 2 tu. Wenye mitaji, Club friendlies zinatoa magoli mengi sn, wekeni 2+ au 3+ ... ushindi wa moja kwa moja kimeo
dah mkuu tunakumiss sana asee
 
Bet 1 to 3.....
Friendly games.

1. 05.07.16 21:45
Arbroath FC - Turriff United (Double Chance)
Customer type: 1/2 @ 1.22
Result:
2. 05.07.16 21:45
East Fife FC - Edinburgh City (Double Chance)
Customer type: 1/2 @ 1.25
Result:
 
Nimeweka pesa mkekabet zaidi ya masaa matatu sasa haijaingia tu, ni mimi pekeangu au kunashida?
 
Back
Top Bottom