Leo siumizi kichwa nimemfuata jamaa kama ifuatavyo
Dah pole halafu kipindi cha pili ndo kapata goli 3 kabisaUsiku mwema daaaaaaaaaaaah......nilimpiga kama laki 3 ndani ya masaa matatu!Nimeweka mzigo kwa Dumbarton alicheza na kitimu kina odd 15, nikaweka goli mbili hadi half time. Mhindi karudisha ela yake yote
Pole kaka..mchezo unatia sana hasira huu sometimes, kilichonitokea jana sitokaa nisahau, mkeka wa wiki nzima wanachana waarabu under 2.5 wanafungana goli la tatu dakika ya 92 na ndo ilkuwa mechi ya mwisho nibebe 1.7M.Kabaki Palmeiras tu.... Second half under 2.5 ....dah..... Haya bana sijui ndio mchawi mwenyeww
Duuuh...... Na muda wote ilikuwa inasoma 20,000/= baada ya kushinda imekuwa 200/= duuhh!!??? Uhuni kiwango cha PhD..... Mi naona nipumzike tu sasa....Pole kaka..mchezo unatia sana hasira huu sometimes, kilichonitokea jana sitokaa nisahau, mkeka wa wiki nzima wanachana waarabu under 2.5 wanafungana goli la tatu dakika ya 92 na ndo ilkuwa mechi ya mwisho nibebe 1.7M.
Nikaweka 20,000/= Palmeiras ashinde, kashinda haijawapendeza Mkekabet kunipa pesa yangu wameniwekea nimecheza 200/= na nyengine wameirejesha, tutafika tu.
![]()
pole kamanda au typing errors ulifanya kwenye kuandika stakePole kaka..mchezo unatia sana hasira huu sometimes, kilichonitokea jana sitokaa nisahau, mkeka wa wiki nzima wanachana waarabu under 2.5 wanafungana goli la tatu dakika ya 92 na ndo ilkuwa mechi ya mwisho nibebe 1.7M.
Nikaweka 20,000/= Palmeiras ashinde, kashinda haijawapendeza Mkekabet kunipa pesa yangu wameniwekea nimecheza 200/= na nyengine wameirejesha, tutafika tu.
![]()
Odds gani hizo unacheza? mwisho wa siku maumivu tunajisababishia wenyewe, hivi kweli unaakili timamu unaweka 50,000/= idhaminiwe na 1.00 odd? ikichana na wewe utakuja humu kuomba faraja? au wafurahishwa sana na hiyo rangi ya kijani enh? Endelea tu utakipata unachokitafuta.mambo mswano![]()
Waliikata kabisa kaka, wamenikwaza sana washenzi hawa, pia nikacheza za USA wakazigawa moja moja kwa stake waloamua wao wakati nilicheza zote kwa jumla.pole kamanda au typing errors ulifanya kwenye kuandika stake
dah naona mkeka wameanza mauza uza huu sasa ni utapeli tutawahama aseeWaliikata kabisa kaka, wamenikwaza sana washenzi hawa, pia nikacheza za USA wakazigawa moja moja kwa stake waloamua wao wakati nilicheza zote kwa jumla.
Hapa ulicheza option gani mkuu??Kabaki Palmeiras tu.... Second half under 2.5 ....dah..... Haya bana sijui ndio mchawi mwenyeww
Kwa Odds hizo na idadi ya timu...ni risk tu hapo na kujipa preshamambo mswano![]()
Bora odds 2 zenye uhakika kuliko odds 5 za mashaka.Kwa Odds hizo na idadi ya timu...ni risk tu hapo na kujipa presha
Bora upate odd ya kuanzia kati ya 1.5-2 angalau unaweza kuona matokeo...Bora odds 2 zenye uhakika kuliko odds 5 za mashaka.
Bora upate odd ya kuanzia kati ya 1.5-2 angalau unaweza kuona matokeo...