Hawana namba ya sim wasiliana nao kwa gmailMwenye namba ya Premier betting.....hawa jamaa nimebet mikeka minne asubuhi sana, cha ajab kwenye Undecided haipo, kwenye Won haipo na kwenye Lost haipo. Sielewi inakuaje hapa
Hivi hii ukitabiri zote sawia ndo unashinda au ndo unaingizwa kwenye droo??maana sielewagi nlipatiaga timu nane lkn sikuona chochote.hv kuna aliewahi kupata hii wakuu???maana naona wanaongeza dau tuu
Izi mechi umezikuta ktk kampuni gan maana meridian kazibana zitakuwa n magoli mengiTujaribu hapa :
Fc Viktoria Plzen - FK Usti Nad Labem
OVER 1.5 (First Half) odds 1.61
1. FC Wunstorf - Hannover 96
OVER 1.5(First Half) odd 1.74
Cheza single single kama una stake nzuri.
Izi mechi umezikuta ktk kampuni gan maana meridian kazibana zitakuwa n magoli mengi
Kumamoto naye naona leo anachezea kipigo cha mbwa mwizi, mie yeyote ashinde tu..
![]()
Hehehe...bora ningetulia tu, napost tu zimebaki dak 10 wanafungana magoli mawili na kuchana mkeka, mwaka wa taabu huu.Kumbe bado unapumua, hofu imebaki kwa hao wajerumani tu, itabidi kuyabana hasa..hehe
![]()
Hehehe...bora ningetulia tu, napost tu zimebaki dak 10 wanafungana magoli mawili na kuchana mkeka, mwaka wa taabu huu.
Wale wa online roasso kumamoto ashafungwa 4 - 0 alaf mpinzani wake kapewa red dk ya 42. nendeni mkampe roaso over 1.5 goals wekeni stake ya maana.
kajimix kanji, over 5.5 total goals ina odds 2. Nishajitoa ufahamu 200K.Hahaha ... halafu ushindi kapewa Odds 101 ... wonders do happen, unaweza ukashangaa anakuja kushinda 4-5 .. teh teh teh
View attachment 363508
kajimix kanji, over 5.5 total goals ina odds 2. Nishajitoa ufahamu 200K.
Nishajilipua kipindi cha pili kiwe na magoli mengi naona kaniwekea odds 34 wacha tujaribuHahaha unaweza ukashangaa kipindi cha pili kuna goli moja tu ... nimerusha 40K hapo.
Hapo tutakufa wengi.kajimix kanji, over 5.5 total goals ina odds 2. Nishajitoa ufahamu 200K.
..nmetupia 20k pia..hahahah..na nahis inaliwaHahaha unaweza ukashangaa kipindi cha pili kuna goli moja tu ... nimerusha 40K hapo.