Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Duh..sina hamu, hawa Basel weshafunga hesabu, hata kama tusipojinyonga basi heart attack inaapproach.
Ahahahaha uku ni kujtoa mhanga,sijawai jarbu hii.BET WON!!!!!
nimeipenda hiy, Hongera chiefJamani nikiliwa poa mana Hakuna namna![]()
Powa powaaaaa!!nimeipenda hiy, Hongera chief
Buddy hiyo ndiyo maana halisi ya Betting, maana hata hizi tunacheza magoli mechi za point 1.13 huwa hatuna uhakika nazo.Hahahaha .. huyu jamaa ni jembee ... kubashiri exactly score, duuuh
Bana kende kiwango cha profesa Maji marefu....Liverpool 2+
Usisahau kutupia madesa.leo ilikua siku nzuri sana kwa mtu aliyetulia katika kubet. Naona timu nyingi zimetoa magoli yakutosha. Kanji hasusiwi, ili umle lazima ubet. Limerick na UCD wote wametoa Y. daah inaniuma sana maana walipewa 2.3 na 2.2, kesho ngoja niamke alfajiri nianze kuzichimba timu kiyakinifu.
Kama ni uboya leo ndo tutaudhihilisha, haiwezekani mamia ya mechi zote hizo tukose hata kumi tu, amkeni wazee wenzangu tupambane.Hahahaha .. huyu jamaa ni jembee ... kubashiri exactly score, duuuh
Bado dakka 7Naanza hivi asubuhi hii![]()