Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hongereeni sana mliocheza magoli japani leo, nilisema mapema kuna hela japokuwa mimi nimeliwa

Mi nlichelewa ikabidi niwasubiri kipindi cha pili nicheze "In-Play" ... hawajaniangusha.

upload_2016-7-10_14-11-40.png
 
Chiangrai United v Bbcu FC hiyo ni mechi Ya Thailand wadau.. Premier wameipa 2.49 kama Y au GG. Mm wakujitoa ufahamu tayari nishaweka 300K. Maana haina namna, kama Kanji kumla nishamla sana na nayeye kanila sana tu. Kilichobaki ni kujitoa ufahamu. BOLOGNA aka jicho la Y au GG......... ...

BET WON mapeeeeema! ... tayari una 300K kibindoni. BIG UP.
 
mbona bet history haionyeshi payout??
alafu skuiz tim ikishinda hata hawaonyeshi rangi ya kijani au nyekundu...mkekabet siiilew kwrny bet history

Bet History
TZS 5000.00 Fourfold
Placed On: 00/06/2016 10:17
Bet Type: Fourfold
Settled (Y/N): No
Total Stake: 5000
Payout: 0
 
Jamani kila nikitaka kutoa pesa meridian haifungui option zao nimejaribu mpaka kwenye app yao ila inagoma nifanyeje?
 
Chiangrai United v Bbcu FC hiyo ni mechi Ya Thailand wadau.. Premier wameipa 2.49 kama Y au GG. Mm wakujitoa ufahamu tayari nishaweka 300K. Maana haina namna, kama Kanji kumla nishamla sana na nayeye kanila sana tu. Kilichobaki ni kujitoa ufahamu. BOLOGNA aka jicho la Y au GG......... ...
Chiangrai United v Bbcu FC hiyo ni mechi Ya Thailand wadau.. Premier wameipa 2.49 kama Y au GG. Mm wakujitoa ufahamu tayari nishaweka 300K. Maana haina namna, kama Kanji kumla nishamla sana na nayeye kanila sana tu. Kilichobaki ni kujitoa ufahamu. BOLOGNA aka jicho la Y au GG......... ...
Daaaaah, amenisumbua sana Kanji wiki hii na mamechi yake ya kirafiki. Hatimaye amekaa. Bet won. Ngoja niwasubiri wakolombia usku.
 
Kuna mech ya flamingo inaendelea wekeni dau mana hisia zangu ni 1:0 full time
 
Back
Top Bottom