Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hii final ya uro mnaionaje inaweza toa total goal over 1.5?Nataka on jilipue
 
Sau paulo 2+
France 2+
Odds 2.2
Stake 999,999/=
Mkeka bet wamekataa nisiweke 1M.
Maombi yenu ni mhimu
 
Bado wawili.... Tucuman na France zisiwe na sare...duh kokoro limesonga .....nmara anatokea afisa uvuvi ...... Unakamatwa
 
Duh! Naombeni mwenye Valium nipumzike tu nisiangalie mpira
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-10-21-24-27.png
    Screenshot_2016-07-10-21-24-27.png
    15.7 KB · Views: 57
Sau paulo 2+
France 2+
Odds 2.2
Stake 999,999/=
Mkeka bet wamekataa nisiweke 1M.
Maombi yenu ni mhimu
Daaaaah, kaKa nimechelewa kuona ulichokifanya hapa. Hiyo hela ungempa new York City kaKa. Kapewa odd 3.6 premier alaf yupo on fire hatari. Hii ni hela kaKa
 
Back
Top Bottom