Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Morning wadau msaada katika premier bet ni sehemu gani naweza ona bet slip nilizotupia manage naangalia home page sioni sehemu yeyote!
 
Morning wadau msaada katika premier bet ni sehemu gani naweza ona bet slip nilizotupia manage naangalia home page sioni sehemu yeyote!
Nena kwenye neno my account bofya utaona opption tatu chagua overview then kuna issue zako zote pale lost win udecided bets and All bets good lucky
 
Morning wadau msaada katika premier bet ni sehemu gani naweza ona bet slip nilizotupia manage naangalia home page sioni sehemu yeyote!

Bofya pale kwenye "My Account" the ingia kweny "Account overview" final hata ukienda kweny" All bet"sio mbaya....zitaletwa....utabofya unayotaka kuangalia..

Morning.
 
Habarin za asubuh Wazee wenzangu.... leo tunaokaje na hizi mech za asubuh msaada wa odd kadhaa nikuze kamtaji ..
mambo ya Y ,First half >1.5 goals, >/<2.5 ,

bologna
mr wise
buddy
wakusoma
geniustin

mtoto wa nzi
etc...
 
Leo nimekamatia hapa
84787a23dac8adb6bf555d96323fcd96.jpg
 
Dynamow Moscow WIN
Fc Botosan X 2
Malmo WIN
Sandefjord WIN
Ekenes WIN
 
Habarin za asubuh Wazee wenzangu.... leo tunaokaje na hizi mech za asubuh msaada wa odd kadhaa nikuze kamtaji ..
mambo ya Y ,First half >1.5 goals, >/<2.5 ,

bologna
mr wise
buddy
wakusoma
geniustin

mtoto wa nzi
etc...

Mkuu,Mi nimeanzia za Saa 18:30 (6:30pm).
Ziangalie.
 
Habarin za asubuh Wazee wenzangu.... leo tunaokaje na hizi mech za asubuh msaada wa odd kadhaa nikuze kamtaji ..
mambo ya Y ,First half >1.5 goals, >/<2.5 ,

bologna
mr wise
buddy
wakusoma
geniustin

mtoto wa nzi
etc...
Nimepigwa ganzi tangu Jana na ufaransa na ureno kutoa sare ...sina hamu ...sijitambui naona ni bonge la gundu.... MSAIDIENI MKUU HAPA..... Naona kila nnachochagua moyo unakataaa kutokana na kuliwa sana ....yoga unaingia.... Hapa mpaka confidence ije.... Sio Leo sio kesho..... Kazi njema
 
Sandejford X2
Ekenes X1
Fc Botasan X 2
Malmo WIN
Dynamo Moscow WIN

Tujichagulie hapo.
 
Ngumu kumeza lakini ndo ivyo tena mana Hakuna namna Kama vip nawe chukua mbili mbili tufurahi wote baadae
86f841c8e66916c1851a5890b2fc51b7.jpg
 
Back
Top Bottom