Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Mbili tayari bado moja tuu emungu unisaidie!!!!
Hapo Hesabu BET WON.
Mbili tayari bado moja tuu emungu unisaidie!!!!
Ngumu kumeza lakini ndo ivyo tena mana Hakuna namna Kama vip nawe chukua mbili mbili tufurahi wote baadae![]()
njia mojaMalmo FF - Orebro SK
Over 1.5 goals (First Half)
Odds 2.04
Kila la kheri mkuunjia moja
![]()
Pole sana mkuu, sio mbaya ndio biashara leo hasara kesho faidaSau paulo 2+
France 2+
Odds 2.2
Stake 999,999/=
Mkeka bet wamekataa nisiweke 1M.
Maombi yenu ni mhimu
Ranheim 2- Sandefjord 0 half tym.... Mhindi kama anaongeaga nao..... Sijui anawapigiaga simu..... "Vevee baki veve bana Mimi liwa pesa mingi pigwa veve Mimi kupe nusu pesa liwa kwa Mimi Rajeskapoorsunjaysunilshetsundeomithunchakorobotyamitahbatchandry......." Huku anakuna tumboLeo nimekamatia hapa![]()
Maximum wager ndio hilo....Pole sana mkuu, sio mbaya ndio biashara leo hasara kesho faida
IK Oddevold - Norrby IF
Over 1.5 goals (First Half)
Odd 2.18
LostMalmo FF - Orebro SK
Over 1.5 goals (First Half)
Odds 2.04
Mkuu sanderfjord katibuaaaa mbayaa daah ila najipa moyo kwa mi mgen ktk kubetRanheim 2- Sandefjord 0 half tym.... Mhindi kama anaongeaga nao..... Sijui anawapigiaga simu..... "Vevee baki veve bana Mimi liwa pesa mingi pigwa veve Mimi kupe nusu pesa liwa kwa Mimi Rajeskapoorsunjaysunilshetsundeomithunchakorobotyamitahbatchandry......." Huku anakuna tumbo
Duu nimeamini uchawi upo hii si kawaida kabisaaaaRanheim 2- Sandefjord 0 half tym.... Mhindi kama anaongeaga nao..... Sijui anawapigiaga simu..... "Vevee baki veve bana Mimi liwa pesa mingi pigwa veve Mimi kupe nusu pesa liwa kwa Mimi Rajeskapoorsunjaysunilshetsundeomithunchakorobotyamitahbatchandry......." Huku anakuna tumbo
Duu nimeamini uchawi upo hii si kawaida kabisaaaa
karibu mkuu,Mkuu sanderfjord katibuaaaa mbayaa daah ila najipa moyo kwa mi mgen ktk kubet
Na hapa napo tatu tayari nipeni ushauri faster!!!Ngumu kumeza lakini ndo ivyo tena mana Hakuna namna Kama vip nawe chukua mbili mbili tufurahi wote baadae![]()
Anza kubana mapema Akranes anaongoza 1
Daaah wakuu poleni kwa kipigo ... leo nlikuwa safarini hivyo sikuweza kutupia hata mkeka mmoja. Saiv ndio nimepata wasaa wa kuingia humu jamvini. Naona leo nimeepushwa na kipigo, maana najua lazima Sandefjord angenichania na mm.
Ila kwa kuwa tumeshalogwa na huu mchezo, ngoja nisilale bila kubahatisha ....
View attachment 365350
g'nyt guys
Daaah wakuu poleni kwa kipigo ... leo nlikuwa safarini hivyo sikuweza kutupia hata mkeka mmoja. Saiv ndio nimepata wasaa wa kuingia humu jamvini. Naona leo nimeepushwa na kipigo, maana najua lazima Sandefjord angenichania na mm.
Ila kwa kuwa tumeshalogwa na huu mchezo, ngoja nisilale bila kubahatisha ....
View attachment 365350
g'nyt guys