Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Viapo vingine bhana havifai bora kuweka hela tu ukiliwa unatafuta nyingine
IMG-20160711-WA0001.jpg
 
Pole Sana jembe. Hela imeniuma sana hiyo. Tungeweka hata 300K kwa new York City. Mm sahivi nimekuja na ujio mpya. Nafuata odd 2 hadi 3 ktk mechi moja.
Naangalia mechi hapa....hahaahaaaaaa New York City nae kakalishwa 3-1 dakika ya 83.... Kuliwa kuliwa tu....
 
Back
Top Bottom