Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaah wakuu poleni kwa kipigo ... leo nlikuwa safarini hivyo sikuweza kutupia hata mkeka mmoja. Saiv ndio nimepata wasaa wa kuingia humu jamvini. Naona leo nimeepushwa na kipigo, maana najua lazima Sandefjord angenichania na mm.

Ila kwa kuwa tumeshalogwa na huu mchezo, ngoja nisilale bila kubahatisha ....

View attachment 365350

g'nyt guys
Breidablik mapemaa anatufanya tuanze kuyabinya...dah
 
Ngoja nioshe nyota ya UEFA kesho baada ya kipigo cha wiki nzima..
e87b06ff2390c62cb91e62e39d6931ab.jpg
 
Duh..itabidi maji ya mchele yahusike sasa maana hii si kawaida, washenzi wameshindwa kudroo tu tena mpinzani yuko na red card tangu dak za 30, shenzi kabisa.
c0b6cd01c81804c0164e1944cbf62e71.jpg
 
Duh..itabidi maji ya mchele yahusike sasa maana hii si kawaida, washenzi wameshindwa kudroo tu tena mpinzani yuko na red card tangu dak za 30, shenzi kabisa.
c0b6cd01c81804c0164e1944cbf62e71.jpg
Mjomba ni shidaaaa sanaaaa...... Hata hiyo Pelle wa Southampton kasajiliwa Shadong Luneng ya China wakati Chelsea na Everton walimtaka.... Hawa wachina sasa soka lao litakuwa juu sana.... ...kina Cisse Ramirez Hulk pelle .... Ukifika msimu wao wa Kikapu ni shidaaaa..... Ntampiga muhindi akome..... Nasubiri kwa hamu ligi kubwa(EPL,laliga,France, serieA,bundesliga, eredivisie,proleague,),hockey ,CBA(kikapi China) ,NBA.... Kufa yeye kufa Mimi.... Hivi viligi vya kufata misimamo ya ligi tu hata mchezaji moja hujui , wanachezaje hujui , upinzani wao haujui.... Ligi hizi ni kama Finland,Norway,Sweden,Columbia, Chile, Brazil ,Ecuador, Argentina priimera b, Bolivia, Belarus,Latvia,Lithuania,...... Bora Japan na Korea, Thailand Na Singapore....wao sio wachoyo wa magoli
 
karibu mkuu,
sheria za kubeti
1. beti hela ambayo haitakutoa machozi ukiliwa.
2. usibeti kwa mapenzi yako kwa timu.
3. usirudie timu moja kwa chaguo sawa zaidi ya .mkeka mmoja.
4. improvise, ukirudia jambo lilelile mara elfu utapata tokeo lilelile mara elfu.
5. usiache kubeti kwani ndio njia pekee ya kula hela ya mdosi.

zipo kumi nyingine kesho.....

ukaza buti ukiweza kuvuka kipindi hiki huko mbele kuanzia sept ni mchekea.
Asante mkuu uzi mkuu nimeuelewa ila lugha za kimchezo ndo najikongoja huwa nashindwa muda mwingine jinsi ua kufuata wadau mfano anaandika Malmo x2
au france
Over 1·5 goals first half
Odds 2.18

Au Baltika. 2.15
Goals 1half. 12+1

Italy-ufarance. 4.80
Exact score. 0.1

HAPO WAKUU HUWA WANANIACHA UKIZINGATIA NABETIA MABANDANI
 
Fatilia posts za nyuma utajua tu kwa sasa vichwa vimesizi kwa vipigo, ngoja nikuze mtaji kwa kokoro kwanza.
2d2c6b36c9ca1e579f983f5e3c7f70c1.jpg
 
Fatilia posts za nyuma utajua tu kwa sasa vichwa vimesizi kwa vipigo, ngoja nikuze mtaji kwa kokoro kwanza.
2d2c6b36c9ca1e579f983f5e3c7f70c1.jpg
Hahaha...nimepost huu mkeka ghafla nikajikuta nacheka mwenyewe kwa sauti, kuchanganyikiwa huku..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mjomba ni shidaaaa sanaaaa...... Hata hiyo Pelle wa Southampton kasajiliwa Shadong Luneng ya China wakati Chelsea na Everton walimtaka.... Hawa wachina sasa soka lao litakuwa juu sana.... ...kina Cisse Ramirez Hulk pelle .... Ukifika msimu wao wa Kikapu ni shidaaaa..... Ntampiga muhindi akome..... Nasubiri kwa hamu ligi kubwa(EPL,laliga,France, serieA,bundesliga, eredivisie,proleague,),hockey ,CBA(kikapi China) ,NBA.... Kufa yeye kufa Mimi.... Hivi viligi vya kufata misimamo ya ligi tu hata mchezaji moja hujui , wanachezaje hujui , upinzani wao haujui.... Ligi hizi ni kama Finland,Norway,Sweden,Columbia, Chile, Brazil ,Ecuador, Argentina priimera b, Bolivia, Belarus,Latvia,Lithuania,...... Bora Japan na Korea, Thailand Na Singapore....wao sio wachoyo wa magoli

Kweli kabisa Chief ... kuna timu nyingine hatujui mchezaji hata mmoja af tunabashiri, heheheh vipigo muhimu. Aisee na mm naisubiri NBA kuna kipindi flan hapo nyuma nlikuwa nampiga Kanji kupitia InPlay hatareee. Yani ukianza na kilo kufikisha kilo 5 ni nusu saa tu. Nlikuwa nadamka asbh utafkiri nawahi Ngorika, Saibaba au Najimnisa kwenda Mwanza ... teh teh teh teh
 
Vipigo vikikuandama ni vizuri muda mwingine ukacheza "for fun" ... baada ya kokoro la Sumve2015, jingine hili hapa lina Total Odds 8787.43 (hahahahaha). Ila kwa wenye kutaka odds 2 sijui 3 mnaweza kuzipata na mkapiga hela. Mi nataka nione tu mwisho wa siku wachawi watakuwa wangapi hapa, maana hawatakosekana. Lakini naweza kupiga vile vile ... <<watch this space>>

upload_2016-7-12_8-23-12.png
 
Mkuu premier hawana reference number ambayo ni moja kwa Namba zote..... Ila Namba ya kampuni ni 500700 .... Kupata reference number lazima uingie upewe....
Hivi jamani namba ya malipo ya premier bett ni ipi
 
Asante mkuu uzi mkuu nimeuelewa ila lugha za kimchezo ndo najikongoja huwa nashindwa muda mwingine jinsi ua kufuata wadau mfano anaandika Malmo x2
au france
Over 1·5 goals first half
Odds 2.18

Au Baltika. 2.15
Goals 1half. 12+1

Italy-ufarance. 4.80
Exact score. 0.1

HAPO WAKUU HUWA WANANIACHA UKIZINGATIA NABETIA MABANDANI
mkuu tumia simu kubeti utakuwa kiprofesheno;

mifumo ya kubeti bongo inafanana kiasi kikubwa ila inatofauti ndogo kutoka nyumba moja na nyingine, niandike kwa ufupi nisije kuchanganya maana mdosi kanizingua asubuhi na mapema

Malmo x2
hapa wanatumia mfumo wa 1x2,
double chance malmo atoe draw au ashinde ila unatakiwa kijiridhisha kwa kuangalia mpangilio wa kwenye mechi itakuwa sawa kama malmo ni timuya pili, ikiwa ya kwanza ni utabiri wa timu pinzani.

au france
Over 1·5 goals first half
Odds 2.18
inategemea,
i. timu ya france ipate goli mbili kipindi cha kwanza au
ii. mechi itoe goli mbili kipindi cha kwanza

kwa kuangalia odd ya pili inahusika, kama ni za yuro.

Au Baltika. 2.15
Goals 1half. 12+1
hii siisomi mkuu

Italy-ufarance. 4.80
Exact score. 0.1
mechi hii matokeo yawe 0-1, nje ya hapo umeliwa
 
Head to Head ni mhimu ktk kutabiri mechi mana cruzeiro kapigwa 0:3 na Atletical
d16716265c9544e5d76b62046ce6c673.jpg
 
Back
Top Bottom