Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Inaweza kusaidia aseee..... Msimu uliopita nilipanda mpunga muda wa kuvuna nioavuna gunia chache sana.....wenyeji wakasema unapovuna kuna wenzako wanavuna huwaoni ....weka mifupa ya naniliu..... Msimu huu nimeweka vidubwana hivyo ....mbona nimepata zaidi kuliko msimu uliopita....Hah hah hah hah Mkuu unaamini ingesaidiaa