Kokoro hili bdo mechi 3
Huu mchezo hauhitaji hasiraYaani naangalia nachoka...... Kipindi chapili eti 49 goli 50 goli 55 goli 59 goli 79 goli 82 goli..... Hapana aseee......
Hatari sana, sina hamu na sina namna..naandaa kokoro jingine hapa, nawaza niliache ziwani mpaka kesho.Yaani naangalia nachoka...... Kipindi chapili eti 49 goli 50 goli 55 goli 59 goli 79 goli 82 goli..... Hapana aseee......
Mpaka somo lieleweke msimu ushaisha...mshenzi sana Kanjubay.naendelea kupata somo,hizi club kutoka S. America dawa ni kucheza Under 1.5 kipindi cha kwanza.![]()
Hizi under hiziSasa mchawi na aloge tuone kama atashindana na nguvu ya Mungu wa Abraham.
![]()
Hehe..upembuzi ummefanyika lakini, wanazaidi ya mechi kumi nyuma hawajavuka hapo cha ajabu kwa kuwa nimecheza basi wataamua kuvuka.Hizi under hizi
Imenambia tayari niko joined lakini nikijoin jibu ni lile lile "PRAYER NOT FOUND"
mdosi kakupenda hajatia fitna kwenye kamkeka kako, umekuja na mguu mzurinani anajua siku yako ya kwanza ikawa ya bahati jaribu
z mostar 0-3
galatasaray win/draw
bate -1 win
Sina hamu.....Hehe..upembuzi ummefanyika lakini, wanazaidi ya mechi kumi nyuma hawajavuka hapo cha ajabu kwa kuwa nimecheza basi wataamua kuvuka.
Jana nilisema nastaafu, leo nimejikuta tu naweka pesa, nimepigwa mfululizo kwa wiki mbili sasa.Sina hamu.....
Haha hah hah mkuu nimeishia kutizama tu ukila wamenikatalia kujoin jibu ni lilelile tu PRAYER NOT FOUND nimejaribu hata kufungua akaunti nyingine kwa emeil nyingine na kujoin bado jibu wamenipa lilelile japo niko activated,sijajua nakosea wapimdosi kakupenda hajatia fitna kwenye kamkeka kako, umekuja na mguu mzuri
duh, pole mkuu!Haha hah hah mkuu nimeishia kutizama tu ukila wamenikatalia kujoin jibu ni lilelile tu PRAYER NOT FOUND nimejaribu hata kufungua akaunti nyingine kwa emeil nyingine na kujoin bado jibu wamenipa lilelile japo niko activated,sijajua nakosea wapi
Hata hivyo nakushukuru.