Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Inabidi nicheke tu, hali ni tete, yaaani hawa washenzi wanatakiwa wasifungane goli hata moja kipindi cha pili, wameniweza..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtoto wa nzi naomba point 2 niweke mpungaYani ndio nimeliwa 10000 bila kucheza........ Mpaka nakosea kudeposit..... Nahitajika kupumzika kwa kweli....
Watabiri wanasema hivyo changanya na zako![]()
Naangalia mikeka ya watu inavyopeperushwa na kuchanwachanwa kwa hasira mpaka naona huruma. Hizi ni pesa aiseMdau nakuwaga na budget ya kubet 10000 tu kwa siku ...... Sasa ndio nimeshajichanganya..... Basis tena kwa Leo....
Yan nimecheka kweli, Jana tu kunamdau alisema siku hizi kudeposit hela tu ni moja ya option ya kubetYani ndio nimeliwa 10000 bila kucheza........ Mpaka nakosea kudeposit..... Nahitajika kupumzika kwa kweli....
Jana tumemtabiria vibaya mtoto wa Nzi. Naona hela yake imeliwa kabla ya kubet.hadi hiyo option bado watu wataliwa vichwaa, utasikia Mtoto wa nzi analalama aiyaaaaaa nimeweka milioni muhind kaichinja.
Itafika sehemu tutaacha kubet tu maana inafika hatua unagundua hizi ni biashara za wenye kampuni sisi hatuwezi kutengeneza faida.
Yaani kama wanaroga vile
Watu walianza na timu chache tunaita "karata" ...wakapigwa .... Wakaongeza timu wakaita "mkeka" tukipigwa....tukaongeza mitimi sasa "makokoro" tunapigwa....hata kuweka pesa tu unaliwa kabla hujacheza..... Ni shidaaaaItafika sehemu tutaacha kubet tu maana inafika hatua unagundua hizi ni biashara za wenye kampuni sisi hatuwezi kutengeneza faida.
Yaani kama wanaroga vile
Tumeliwa wote mkuu ....heri yako hata umebet ...mi nimeliwa juu kwa juu.....Inabidi nicheke tu, hali ni tete, yaaani hawa washenzi wanatakiwa wasifungane goli hata moja kipindi cha pili, wameniweza..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
![]()
Noma sana..Tumeliwa wote mkuu ....heri yako hata umebet ...mi nimeliwa juu kwa juu.....
Kuchanganyikiwa huku.... Reference number nimeingiza password..... Afu nimesend..... Naangalia meseji dooooooh...... Sijui watarudisha pesa ..... Sadaka
Asante mkuu kutengenezewa akaunti naona njia bora zaidi.Hili tatizo hata mimi liliwahi kunikuta, Nikawapigia, wakasema huwa wanatokea kwa wateja wa kwa tena ukiwa unatumia SIMU...wakasema jaribu kwa mara ya kwanza kuLOG IN kwa PC....
Ikishindikana njia hapo juu,wapigie simu...
Kuna jamaa walimtengenezea wenyew Akaunti.
Hahahhahahahahahahahhahahahahhahaahhahahahhahahahahhaaaaa....utaniuaaaa....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]