Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

haha mkuu tatizo ni kwamba kuwithdraw ni kudogo sana kuliko kudeposit mpk mtu unasahau kama kuna kuwithdraw.. kama kushinda kungekuwa kwingi nisingejali hata niwithdraw baada ya miezi sita lakini.. hii game bana imekuwa ngumu tu kuacha lakini ingelikuwa ni amri yangu ningeli (siri yangu)..

nb: tukisema sana kuna jamaa linaitwa fisadi kuu humu linatokeaga kwa msimu halina dogo kabisa..

Hahahahahahahahahhhahha
 
Natafuta timu 10 za eufa euro kesho.... Niwape sare ya dakika 10 ...hazipungui point 3....
Tena umenikumbusha, mie nashusha kokoro la hiyo option, nawatoa wachovu tu afu nione mchawi sasa, chagua zile mechi ngumu ambazo ni likely kuwa na magoli machache kama unataka 10 tu..hapa lazima azirudishe.
 
Tena umenikumbusha, mie nashusha kokoro la hiyo option, nawatoa wachovu tu afu nione mchawi sasa, chagua zile mechi ngumu ambazo ni likely kuwa na magoli machache kama unataka 10 tu..hapa lazima azirudishe.

SIUNGI MKONO HOJA, HIYO NI OPTION MOJA GUMU SANA
 
SIUNGI MKONO HOJA, HIYO NI OPTION MOJA GUMU SANA
Ni ngumu mkuu ila leo itatoa sana sababu ni 1st leg na hakuna atayetaka kuruhusu goli ili 2nd leg iwe rahisi kwake kufuzu...pia naziona NG si chini ya 10.
 
Timu kumi ni nyingi sana. Kama unastake ya kuanzia 100k omba watu wakupe odds za uhakika upate hela. Hayo makokolo kila siku hayakosi mchawi.
 
Jaman aliyeweka kuweka hela premer ni nani? Maana nimeweka hela toka Jana mchana haionekan kabisa na message ya Tigo pesa imerud hela umeenda premer.
 
Genk DRAW
Full Time
Odds 3.4



Brondy DRAW
Full Time
Odds 7.2


Tujichagulie mojawapo...
Mungu ataonyesha njia.
 
Clevertips
 

Attachments

  • 1468496514319.jpg
    1468496514319.jpg
    33.6 KB · Views: 30
Mimi nimeshawakatalia makokoro lkn hawakomi.

Jamani kokoro sio dili, mtakuja pumzika kama sisi

Wakusoma tafuta odds 2 za uhakika kati ya tarehe 26-
- 27 mwezi huu. Nataka niweke M1 kwa M2 ili nipata M1 ya kubetia ligi ikianza. Maana hii ligi inatakiwa uanze japo na M1 ili tumkalishe muhindi.
 
Cliftonville FC v AEK Larnaca FC
cliftonvile double chance odds 2.5 hii ni hela wadau. Kama una 100k weka hautajutia.
 
Cliftonville FC v AEK Larnaca FC
cliftonvile double chance odds 2.5 hii ni hela wadau. Kama una 100k weka hautajutia.

Bologna,hapa nimekuelewa sana braza....Tena kule Premier kuna HANDCAP ya hadi 2.....
Nimejaribu kumwekea HANDCAP ya 2 Cliftonvile,

Analeta Odds ya 1.54
Sasa hapo ikiwa Stake ya 100k faida 50k.

Note; Kule Premier ni kama hatukatwi Tax.....(coz unachokatwa,ndo unachopewa as a bonus)

Nimeipenda hii njia...I advice to you my fellow.

All in all tunatakiwa tuwe tunatafuta timu zinazotoshana nguvu.

Naanza kuifanyia Kazi hii Option kuanzia leo, nione matunda yake.

ALL THE BEST ALL.
 
Back
Top Bottom