Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

9df6dfec8cbf127b14410176c8bc8e6b.jpg
hautokosa timu 10 hapo
mkuu, hivi vitimu vya mchangani ni shida kabisa....mimi nimeamua kwenda likizo ya kubet hadi August. utashangaa kitimu kinapewa 1.01 halafu kinakuja kupigwa na timu iliyopewa 25.0....ni shida!
 
Mkuu kwa hii style utapoteza pesa sana....Unaweka 10,000 iliupate 87000????????Tena mkeka wa matimu lundo ivyo, yani hapo kutokea mmoja wa kuharibu ni rahisi mno
Hehhehe...mchawi tiari ndo maana ukicheza hivi unatakiwa uwe na bapa pembeni, odd hawawezi rejesha hilo goli na mkeka ndo ushachanika, hawa washenzi utadhani huwa wananitizama mimi tu nimebet vipi..wameniweza.
 
Nilijua tu hakosekani dah,Pole Mkuu...but kupoteza ni sehemu ya game, tujicheki mbinu zetu tu.
 
Hahaaaaaaaa! Naona watu wote kiimyaaaaa!
Wapi wazee wa kokoro
Sumve
Mtoto wa nzi

Acheni hizo mambo
 
Hahahaah Sumve hapo umetiiisha saana...Lazima akae muhindi...umenikumbusha hiyo DRAW 0-10.......Nitaitumia kesho.haahaaa

Naona muhindi anaanza kutoa chozi....

Hii style nzur sana.
Mkuu hii ya draw 0-10 inaitwaje ?
 
Jamani bado Sheeda kusign up premier maana kila nikiweka namba ya simu wanasema too long mara to shoot duuu
 
Back
Top Bottom