Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

9df6dfec8cbf127b14410176c8bc8e6b.jpg
hautokosa timu 10 hapo
 
Aisee hawa mkeka siwa elewi kwa mlio weza ku log in nahitaji msaada
Mimi sion sehem ya password bali wana kwambia uingize Pin ambazo sizikumbuki kwa sasa na tayari nilisha kua na account kabla ya haya mabadiliko ya sasa ivi. Je mlio weza kulog in kwa sasa mmetumia account mpya ama zile zile za zamani???
Msaada kwenye tuta wana jamvi

Ni zile zile za zamani...Sema mimi walinitumia PIN mpya......ila kama unataka PIN mpya wameelekeza kutuma neno "PIN" kwenda ile namba yao ya kutolea hela(ambayo huwa tunatuma ujumbe tutakapo luWITHDRAW)

Ila mimi tatizo ni pale kweny kuweka Stake...maana Betslip inaonekana.
 
Mimi inaishia hapo,Sioni pa kuendelea.....[emoji50]
 

Attachments

  • 1467273241309.jpg
    1467273241309.jpg
    28.7 KB · Views: 45
Wadau kwa kuwasaidia mkekabet bado haijawa stable na pin zimebadilishwa jana walituma kwa kila mtu pin mpya kwa simu pale kwenye bet slip inazingua nimesikia ukitumia computer ipo fresh
 
Wadau kwa kuwasaidia mkekabet bado haijawa stable na pin zimebadilishwa jana walituma kwa kila mtu pin mpya kwa simu pale kwenye bet slip inazingua nimesikia ukitumia computer ipo fresh


Mimi nimetupia hela 45mins ago bado haijaingia kwny mkekabet account ... nataka nianze mapambano na Kanjibah nimekwamishwa.
 
mnaosema kila kitu tayari wekeni mfano wa mkeka hapa tuone

NIMEJARIBU KUSELECT TEAMS INAKUBALI ILA BET SLIP NDO BADO WAMEFUNGA



Mimi nilijaribu jana ... mfano wa mkeka ni huu ...


upload_2016-6-30_11-17-11.png


wameniboa hapo kwenye betslip unashindwa kujua timu ipi imekupa ushindi na ipi imekusaliti (mpaka ufuatilie mwenyewe matokeo yalikuwaje ... km kwny m-bet grrrrrrrrrr)

 
Wakusoma, buddy, na wadau wote naombeni odds 1.9 au odds 2 nijilipue maana leo sijaingia darasani alaf nipo safarini.
 
Yani leo hakuna mechi kabisa.


Khaaaaaaa ... acha utani Allan248. Jana, leo, kesho, keshokutwa hadi mtondogoo kuna mechi za kufa mtu. Cha kushangaza hata ukichagua mechi 3 tu lazima umvagae mchawi (yani hapo ndio nachoka kbs)
 
Khaaaaaaa ... acha utani Allan248. Jana, leo, kesho, keshokutwa hadi mtondogoo kuna mechi za kufa mtu. Cha kushangaza hata ukichagua mechi 3 tu lazima umvagae mchawi (yani hapo ndio nachoka kbs)
M pia nachoka game zaid ya 250 nashndwa predict 5.
 
Back
Top Bottom