Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nasubiri goli moja tu la mamelod mshahara ujizae mara mbili. wale wanangu wa Y chekini mechi ya Zesco na waarabu wale ina odd 2.3 Y. nayo naweka 100k. tutaonana kesho jamani.
Hongera mkuu ila hiyo ya Zesco usijaribu utaugua pressure..labda kama under 2.5 sawa.
 
Kwa nini hizo "BAR" za Mkeka bet, Wasiziweke za rangi ya blue kama zamani?!??!?! Ndo itaendana na rangi ya maandishi.

Au bhasi maandishi waweke Meusi yaendane na rangi nyekundu.

By the way; Hivi kwa nini makampuni mengi yanapenda kutumia Rangi nyekundu!!! [emoji22][emoji22][emoji22]
 
8fc301ca2d19ab84966cc9cab77f06b9.jpg
 
Lazma wachawi wapatikane ! Sahv ntakuwa narusha humu wale wanaeweka timu kidogo wajichukulie
 
Kwa nini hizo "BAR" za Mkeka bet, Wasiziweke za rangi ya blue kama zamani?!??!?! Ndo itaendana na rangi ya maandishi.

Au bhasi maandishi waweke Meusi yaendane na rangi nyekundu.

By the way; Hivi kwa nini makampuni mengi yanapenda kutumia Rangi nyekundu!!! [emoji22][emoji22][emoji22]
rangi ya siku ya hukumu ni ama zao ama zako
 
Wakuu mbona mkekabet sasa hv ndio wamekua wazuri? ebu jaribuni kuiangalia vizuri pamoja na option zake
 
Naona mkeka wapo vizuri kwa option halafu wameongeza na michezo kibao at the same time wapo very fast in withdrawing mpunga,dosari yao ni kuwa siioni betslip hata ninapoplace sehemu ya bet slip hivyo nashindwa hata kuona sehemu ya kusubmit mkeka.
 
Back
Top Bottom