Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa mkeka bet sijawaelewa kabsaa. .ngoja niwaweke pembeni...mikeka inachanganya naona wanatuchanganya ..bye kwa muda
 
Sijapenda muonekano na mpangilio wa mkekabet kwa sasa, nisaidieni namna ya kujiunga bet site nyingine
 
Mkekabet 'wamepuyanga' sn ... mm najikita meridianbet kwa sasa!
 
  • Thanks
Reactions: pri
Mi nimewapigia,inaelekea bado hawajamaliza matengenezo yao.....Ila muonekano wa sasa, unanichanganya Macho...hahahhahahh...

Labda ni kwa upya wao, ngoja niwape mda.
 
Buddy naomba odd 2 tu jamani plz.
Cc
Bologna
Sumve
Mtoto wa nzi



Hali ni mbaya sana mkuu ... mimi nimejaribu hivi tena!

Lidkopings 1
Sturm Graz I1*1
Mamelod Sundowns I1*1
Sandefjord I2*2
-----------
Total Odds = 6.28
 
tumia m.mkekabet.com
Ndo ninayotumia, ila nikifungulia crome inafunguka hata haibonyezeki yaan siielewi.
95ff715fe2ae071fb5ffa662d63b31e5.jpg

01f548b1e9b1e1d09734f5e6f0c93c1f.jpg
 
Back
Top Bottom