Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkekabet wameongeza tigopesa
Mkeka bet kwenye computer ni nzuri sana
Wanamalizia marekebisho
 
Mkekabet wameongeza tigopesa
Mkeka bet kwenye computer ni nzuri sana
Wanamalizia marekebisho
 
Leo lazima faida ya 50k ifike

Sasa ni Kama ifuatavyo
795227973c2615b210036db8c7b9a7da.jpg
Hehehe...binya zaidi mkuu, sie wengine tushaumia mapemaaa, naona umeamua kumrudishia mchawi mkubwa huyu.
 
Tangazo, Tangazo

Naombeni mwongozo tuache kujadili masuala ya mechi za kubet ili kuanzia Saa NNE kamili usiku huu tuwe na kikao cha dharula kuongelea ishu ya MKEKABET kubadilisha muonekano

Naamini humu wamo na sisi in wateja wao kwa hiyo tunaweza kuweka mgomo wa siku tano pasipokutumia Huduma yao mpaka warudishe muonekano na option za zamani.

Nawasililisha kwa taarifa
 
Mkekabet wameongeza tigopesa
Mkeka bet kwenye computer ni nzuri sana
Wanamalizia marekebisho
Nzuri vipi wakati toka imerudi nahangaika kuplace bet bila mafanikio mpaka mechi zimeisha.
 
Nzuri vipi wakati toka imerudi nahangaika kuplace bet bila mafanikio mpaka mechi zimeisha.




Mbona mnahangaika nao utafkiri hakuna betting sites nyingine??? waacheni wajipange, wakimaliza tutarudi ... hao sio Tanesco kwamba ukikosa huduma kwao hupati sehemu nyngne.
 
Tangazo, Tangazo

Naombeni mwongozo tuache kujadili masuala ya mechi za kubet ili kuanzia Saa NNE kamili usiku huu tuwe na kikao cha dharula kuongelea ishu ya MKEKABET kubadilisha muonekano

Naamini humu wamo na sisi in wateja wao kwa hiyo tunaweza kuweka mgomo wa siku tano pasipokutumia Huduma yao mpaka warudishe muonekano na option za zamani.

Nawasililisha kwa taarifa
Aah mm mtazamo wng uko tofaut naona ni bora hivi walivyoongeza option coz ndo tunakuwa na wigo mpana zaidi wa kubet kuliko vipengele vikiwa vichache. Sasa ndo ela zitakuja vizuri. Ni mtazamo
 
Nadhan hii ndonjia pekee,maana benafs nmeshindwa kuwasoma matokeo yake nmeshindwa kuingiza hata buku kwa siku.dawa ni mgomo tu Hamna namna.
 
Ivi jamani hao meridianbet hawakat kodi mtu akishinda?? Km wana kata ni asilimia ngapi?? Mana kuna screenshot nmeiona hapo imenitia wasiwasi.
 
Ivi jamani hao meridianbet hawakat kodi mtu akishinda?? Km wana kata ni asilimia ngapi?? Mana kuna screenshot nmeiona hapo imenitia wasiwasi.
Wanakata ila iyo ela ya kodi inakuwa km bonas yko tena km una bet kwa website ila ukienda ofisin bonus upati ila unapewa ela kamili
 
Mkekabet wameongeza tigopesa
Mkeka bet kwenye computer ni nzuri sana
Wanamalizia marekebisho
kweli mie nmeikubali hii ya sasa zaman web version nilikuwa siwez kuweka bet had mobile version pia wameongeza na kurudisha both tm 2 score,
 
Jamani mm nimempa mamelod sundown atapata over 1.5 goals nimeiona ina odds 1.9 nikajilipua mshahara wote. nalala kidogo.
 
Najaribu kujirejista na Mkekabet ila nafail kwenye tar yakuzaliwa.. Msaada wadau
 
Nasubiri goli moja tu la mamelod mshahara ujizae mara mbili. wale wanangu wa Y chekini mechi ya Zesco na waarabu wale ina odd 2.3 Y. nayo naweka 100k. tutaonana kesho jamani.
 
Back
Top Bottom