Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Kumbe mnapenda kukatwa kodi na m-bet ...hiyo 30000 kwa premier unapewa cash ila kwa meridian unapewa kama bonus....
Kumbe mnapenda kukatwa kodi na m-bet ...hiyo 30000 kwa premier unapewa cash ila kwa meridian unapewa kama bonus....
inawezekana maana ukitoa hela wako fast kukutumia ila meridian ni cku kadhaa
Ni kweli, na zali lenyewe utest kwa hela ndogo ukiweka hela kubwa anapita nayo![]()
![]()
Yaani siku unatest zari unashangaaa ngoma inatiki Ila ukibeti serious unaliwa kweli huu mchezo ni wakubahatisha
Hapo nikiweka 2000 tu imekuja 300+k nimebaki najilaumu tu ningeweka Hata 10000 tu ningekua na 1.5mNi kweli, na zali lenyewe utest kwa hela ndogo ukiweka hela kubwa anapita nayo
Mimi nitarudia kubet mpaka Mkekabet wakae sawa maana kwa sasa huwezi kubet bado imefungwaWadau anzeni kutiririsha odds ... alichonifanya jana Kanjibah sitasahau. Kila mkeka nliokuwa nagusa kuna mchawi mmoja tu ambaye kazi yake ilikuwa kuhakikisha sipati hela kbs.
Mimi nitarudia kubet mpaka Mkekabet wakae sawa maana kwa sasa huwezi kubet bado imefungwa
Mbona mimi nikichagua mechi nikibonyeza kwenye betslip ili niweke stake hakuna kinachotokea? Au hawaruhusu single bet?Haijafungwa mkuu, unabet km kawaida. Sema changes ni nyingi itachukua siku kadhaa kuizoea. Wameniboa kwny bet slip kutoweka colour codes ili kujua ni mechi gani umeshinda na gani umepoteza. The green (ukishinda) & red (ukilose) colours.
Mbona mimi nikichagua mechi nikibonyeza kwenye betslip ili niweke stake hakuna kinachotokea? Au hawaruhusu single bet?
Mimi sioni sehemu ya kuweka stakekila kitu kinawezekana sahivi imeshakaa poa.
Ata mimi sioni bet slip wala sehemu ya kuweka stake na nimeshindwa kulog in.Mimi sioni sehemu ya kuweka stake
Mimi naweza kulog in lkn sioni sehemu ya kuweka stakeAta mimi sioni bet slip wala sehemu ya kuweka stake na nimeshindwa kulog in.
ahahaha na kati ya hizo zote zitakua na matokeo matatu tu yaani home win au draw au away team winEuropa league Qualification za kutosha mechi 43.hata robo zisipatikane???