Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Khaaaaaaa ... acha utani Allan248. Jana, leo, kesho, keshokutwa hadi mtondogoo kuna mechi za kufa mtu. Cha kushangaza hata ukichagua mechi 3 tu lazima umvagae mchawi (yani hapo ndio nachoka kbs)
Hahahahaa..
 
9df6dfec8cbf127b14410176c8bc8e6b.jpg
hautokosa timu 10 hapo
Mdau ..... Unaundugu na Yesu au Issa !!??? Upatie mechi 32..!???
 
Jana Nliweka Mechi 12.
Zikatiki 10.
Mpaka Nikajuta Kwanini Nimeweka Mechi Nyingi.
Yani Tamaa Hizi.
Keka La 1000 Lilikua Lonasoma 300k.
*****.
 


Hawa mkekabet wamekuwaje tena leo??? mpk saiv hela haijainigia toka saa nne na robo asbh? Jana iliingia fasta balaa, leo cheche daaaah

 
Jana Nliweka Mechi 12.
Zikatiki 10.
Mpaka Nikajuta Kwanini Nimeweka Mechi Nyingi.
Yani Tamaa Hizi.
Keka La 1000 Lilikua Lonasoma 300k.
*****.


Pole sana Chief ... hayo manung'uniko yako na mm ninayo. Jana huu mkeka uliniuma hatariiiii. Nikajiuliza hivi huyu Jeju nilimuongeza wa nn? si bora ningewaacha hao wawili nikapiga 300K (200K faida).

upload_2016-6-30_12-58-54.png
 
Haaahaaaaaa! Buddy mimi nilicheza kama we nikaweka laki 5 alichofanya Jeju duj!
 
Haaahaaaaaa! Buddy mimi nilicheza kama we nikaweka laki 5 alichofanya Jeju duj!



Acha kbs mzazi ... jana Jeju kanitoa maconfidence yote. Nikatia 5K nirudishe kilo yangu, nayo wakairamba (Malmo) ...grrrrrrrrr

upload_2016-6-30_14-10-20.png
 
Nikasema ngoja nijilipue tena na 30K labda watanionea huruma, waaaaapi

upload_2016-6-30_14-12-49.png


Yani jana mikeka yote kulikuwa na timu moja tu iliyoazimia kuni nyima hela
 
Aaaaha!leo naona mabarabara tu..mwanzo mwisho...
Labda kwa hizi timu hazieleweki tumjaribu 2+
 
Hawa mbet wapuuzi kweli mkeka toka jana hadi leo hawajanitumia pesa yangu
 
Back
Top Bottom