Wa kusoma na Budy nasubiri possible zenu nidese
Over goli zaidi ya 2 na under zisizid 2Wakui msaada kwenye option ya over/under ina maanisha nini katka kipengeke iki?
Mkuu hii 2+ ni over? Maana mimi sina hiyo option nishazoea M-betchagua zitakazokufaa hapo,leo lazima akae.![]()
Hiyo ni overMkuu hii 2+ ni over? Maana mimi sina hiyo option nishazoea M-bet
2+......mana ake kuanzia 2 na kuendeleaAhsante mkuu ngojea nichague nitembelee nyota yako leo
Jumla ya magoli ya timu zote mbili zikifungana yasizidi mawili/yazidi mawili au ni timu moja ikishinda yasizidi ma wili /yazidi mawili?Over goli zaidi ya 2 na under zisizid 2
Licha ya kujihami na midouble chances ya kutosha lakini bado tu utashangaa mchawi anachomoza.
![]()
Nimekupata mkuu, hivi 2+ iko option gani? Na naipataje?2+......mana ake kuanzia 2 na kuendelea
2.5......mana ake kuanzia 3na kuendelea
Na ya M-BET ni 2.5 or3+ mzeiya upo apo
duuuu yaani hapo ndio umepunguza kutoka 32 mpaka 28..... ni sidaaaaaaaaachagua zitakazokufaa hapo,leo lazima akae.![]()
Maswali tuu...duuuuh!leteni mkeka...alafu majibu ya maswali haya yalishajibiwa kwenye post zilizopita tumia kitufe cha search kupata chochote unachouliza...Nimekupata mkuu, hivi 2+ iko option gani? Na naipataje?
we unabetia Kampun gan??Nimekupata mkuu, hivi 2+ iko option gani? Na naipataje?
Hehe..Kokolo la mwisho hila hapa, tutabinya hasa leo.
Hahaha ... acha kbs Chief, mchawi utashangaaa hakosekani. Kanjibah akininyoosha na leo atakuwa amenitolea confidence zote. Itabidi niende likizo walau kwa majuma mawili.
naona umezuia magoli.Hehe..Kokolo la mwisho hila hapa, tutabinya hasa leo.
![]()
Shukran chief..tuzidi kuombeana tu maana safari ndo ishaanza.naona umezuia magoli.
aĺl the best .