Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Hongera kaka, mie naona kwa leo Mungu kampenda zaidi Kanjubay.
Aisee, nliweka stake ndogo ... jana nimejilipua Kanjibah Patel akapita na mm. Hizi mambo sijui inakuwaje yn
Hongera kaka, mie naona kwa leo Mungu kampenda zaidi Kanjubay.
90Hivi sheria za Meridian zikoje kuhusu matokeo. Ni dk 90 au 120 kama ipo?
Tupo tunasahihisha mikeka tu,wazee wenzangu mpo
nimerudi nilikua likizo
Tupo mkuu ... kimya sana Chief
Timu zote 2 ! Mfano 1-1 ni under ! 2-1 ni overJumla ya magoli ya timu zote mbili zikifungana yasizidi mawili/yazidi mawili au ni timu moja ikishinda yasizidi ma wili /yazidi mawili?
Mzee nilikuwa nakutafuta sana mpaka nikatamani nianzishe Uzi wa kutambua mchango wako wa kuanzisha hii thread, mawazo mengine yakawa yananituma eti huenda ulishafariki kumbe upooo!wazee wenzangu mpo
dah hafu timu ambayo n mchawi wangeweza hata kufikisha goli 3.
wazee wenzangu mpo[/QUOTE
Tupo MASTER SHIVO. Daah, bora umerudi muasisi.