Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumtambua mchawi ni ngumu
Ina bidi njia mbadala ianze kutumika
Uyu kanji hafai ni mwendo wa za uso tuu
 

Attachments

  • 1467369935253.jpg
    1467369935253.jpg
    71.7 KB · Views: 29
2344a55c7d858fe7731f5f1e381c39f8.jpg

Refa kanibania card moja tu. Marefa wa Euro hawatoi kadi kabisa. Sijui ni maelekezo kutoka kwa Colina!
 
Wadau kwa heshima na taadhima, aliyeshikiria waya wangu wa kumla mhindi tafadhari tuoneane huruma jamani achia kidogo basi ... daaaah !!! mikeka miwili ya leo yote chaliiiii ... nimekosa pozi kbs

upload_2016-7-1_15-41-18.png
 
Back
Top Bottom