kaka usichukue likizo tafadhaliPale unapojitahidi ukampa mtu under 4 half dk ya 28 MTU kashamfunga mwenzake 4 bila.
Leo nimepiga hesabu nimeliwa sasa karibia 2m. Natangaza kustaafu hii kazi mpaka mwezi wa nane
Pole mkuu mana ni sheeeeda Nina wasiwasi na mwezi huu ngoja na mm Leo nikiliwa tuu ndio basi teena tutaonana mwezi wa nane!Pale unapojitahidi ukampa mtu under 4 half dk ya 28 MTU kashamfunga mwenzake 4 bila.
Leo nimepiga hesabu nimeliwa sasa karibia 2m. Natangaza kustaafu hii kazi mpaka mwezi wa nane
Sijapata pin mpya. Najaribu ile ta zamani inakataa. A'fu naimba kuuliza. Kwa sasa mkeka bet unaweza kucheza game moja kwa zaidi ya options 1?Ulipewa pin mpya au? Jaribu kutumia source nyingine
Kucheza mechi moja zaidi ya option moja nimeona IPO.Sijapata pin mpya. Najaribu ile ta zamani inakataa. A'fu naimba kuuliza. Kwa sasa mkeka bet unaweza kucheza game moja kwa zaidi ya options 1?
Mkuu nimefanikiwa. Ahsante sana.Kucheza mechi moja zaidi ya option moja nimeona IPO.
Basi tuma neno PIN kwenda 15739,upewe pin nyingine
Acha Tu Mkuu. PumzikaPale unapojitahidi ukampa mtu under 4 half dk ya 28 MTU kashamfunga mwenzake 4 bila.
Leo nimepiga hesabu nimeliwa sasa karibia 2m. Natangaza kustaafu hii kazi mpaka mwezi wa nane
Pole sana chief, hii ya leo kiboko, eti hadi Australia wanashindwa fikisha goli mbili? hata Estonia?....mambo sio mambo.Wacha tu nifanye kazi nyingine Betting imenikataa. Ntakuwa napita kuwasalimia tu
Something not right somewhere ... haiwezekani nikakosa hata single bet. Ngoja nipumzike kwnz kujitafakari ...
View attachment 362015