Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1467404337281.jpg
 
upload_2016-7-2_0-4-34.png

hii beach ni nini na hizi timu nazipata wapi maana znafungana sana leo nmeona niulizee tuuu wakuu msaaada wenu
 
View attachment 362090
hii beach ni nini na hizi timu nazipata wapi maana znafungana sana leo nmeona niulizee tuuu wakuu msaaada wenu
Hahaha...yaan humu tungekuwa mtaani tungeitwa walozi, mtu mgeni akipita tu mtaani unae, nazingua tu mkuu nmefurahi angalau nimerejesha nilizoliwa leo so naanza upya, nilikuwa nishakata tamaa pia.
5bbf28e797dbf5679efe6b28a4994f1e.jpg
 
Back
Top Bottom