mr man city
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 467
- 320
naombeni namba ya kampuni ya mkekabet na kumbukumbu ya malipo......
au kuna njia nyingine ya kudeposit??
au kuna njia nyingine ya kudeposit??
238844 na 123458naombeni namba ya kampuni ya mkekabet na kumbukumbu ya malipo......
au kuna njia nyingine ya kudeposit??
Hehe..Kokolo la mwisho hila hapa, tutabinya hasa leo.
![]()
Lazima airudishe hiyo man
Utakazochambua turushie tena man ... hali ni mbaya. Jana kanila 150K huyu mhindi nna hasira nae sn.
Hahaha...hakuna namna, kokoro la kwanza naona TPS Turku kaanza mbwembwe hakawii kuchana.Hakika Leo ni makokoro tu .....hakuna ndoano .....
poa poa jembe langu. Yan jana nilijitoa ufahamu kabisa.Mkuu kwanza hongera jana kwa ku-double mshahara wako ...
View attachment 361425
wamepiga hatua 3 mbele na kurud hatua 5 nyuma na kujipongeza, kuto kuonyeesha kama umeshinda wamewaiga mbet... hicho kitendo nimekilaani sana ,Mkeka bet muonekano mpya ni mBaya, khaa![emoji42][emoji42][emoji42].......Maandishi madoogo..!!
Hawasemi either ni Bet Won au laah! Live bet ipo kimya kimya haionyeeshi.
Hadi wanasababisha nakosa umakini kwel kuweka mikeka...Inachanika tu, ahahahahaaa
Mkuu kwanza hongera jana kwa ku-double mshahara wako ...
View attachment 361425
Poland or draw 75%Wenye mtaji leo,portugal anashinda,nina uhakika wa 99.99%
Hongera kaka, mie naona kwa leo Mungu kampenda zaidi Kanjubay.Bologna, kama ulichukua hizi odds 5.8 saiv tunamuombea Portugal tu watoe 2+