Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nielekeze kusign up premier maana kila nikiweka namba mara invalid mara too short plz tuwahi mech jman
 
haha hii option ya draw hii.. unatakiwa ukisubmit unywe valiamu na viagra kwa pamoja ili akili ipalanganyike..

Hahahahhhahahahahhahahhahahahahhahahahahahhahahahahahhahahahahahahahahahhahaha.....Mbavu zangu...ahhahahahahhahah

Ila Brondy Draw naiona kwa mbaaaaali ileeeeee.....

Hahahaahahh
 
Nielekeze kusign up premier maana kila nikiweka namba mara invalid mara too short plz tuwahi mech jman

Kuweka namba gani?? Kama ni Password inatakiwa iwe ndefu kidogo...Mfano unaweka hata jina lako na unaongezea na Mwaka wako wa Kuzaliiwa..hahahahhahaa

Hapo haitakuchengua tena.
 
Kokoro maridhawa.
 
Attachments

  • 1468507912568.jpg
    1468507912568.jpg
    54.2 KB · Views: 29
Kokoro maridhawa.
Hahaha...hapo lazima akae, hilo sio kokoro bhana, mie niko na sub-kokoro na ndo nalotegemea lirejeshe pesa zinazoliwa kwenye makokoro mengine leo ambayo tiari yanapumlia mashine, yaani hapa nilipo niko na daftali na kalamu na bapa nalishusha taratiiibu, tusipoangalia huu mchezo tutaondoka na maradhi ya moyo.
5506b951176879676122049750e9e5be.jpg
 
Mkuu kwa hii style utapoteza pesa sana....Unaweka 10,000 iliupate 87000????????Tena mkeka wa matimu lundo ivyo, yani hapo kutokea mmoja wa kuharibu ni rahisi mno
 
Hahaha...hapo lazima akae, hilo sio kokoro bhana, mie niko na sub-kokoro na ndo nalotegemea lirejeshe pesa zinazoliwa kwenye makokoro mengine leo ambayo tiari yanapumlia mashine, yaani hapa nilipo niko na daftali na kalamu na bapa nalishusha taratiiibu, tusipoangalia huu mchezo tutaondoka na maradhi ya moyo.
5506b951176879676122049750e9e5be.jpg

Hahahaah Sumve hapo umetiiisha saana...Lazima akae muhindi...umenikumbusha hiyo DRAW 0-10.......Nitaitumia kesho.haahaaa

Naona muhindi anaanza kutoa chozi....

Hii style nzur sana.
 
Back
Top Bottom