Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Premer ******* kweli nimeweka hela toka saa 9 mpaka sasa siione kwenye A/c na tigo washa confirm hela imeenda premer mazafanta mazafanta agrrrr match zote nzuri naona zinanikacha[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji19] [emoji36]
Mm toka jana asubui
 
sasa hv changamoto sio kuplace bet pekeyake ni pamoja na kuweka pesa kwny a/c.. itafika sehem tutakuwa tunaminya kende ili pesa ifike kwny a/c alafu ikishaingia unaminya kwa level ile ya Phd ili ushinde na bet..

#kende ina taabika mwaka huuu babake
[emoji23] [emoji38]
 
Nasikia mkekabet sasa hivi ukishaplace bet huwezi kuona timu ulizocheza yaani mkeka wako kwa hiyo uamuzi wa kujua au umeliwa ni wa kwao wenyewe
ni kweli mkuu,, yan sasahv atakama umeshinda kujua kama kweli inabid ubashiri hahaaa
 
Dah! mkekabet wanakoelekea ni jipu la ubongo sasa,mm nikawa muda mrefu naplace mkeka hlf haufumguki nikadhani ni tatizo la simu yangu kumbe ni ndumba zao tu,duh,mpaka sasa sijui nimemchagua nani maana sioni,hapa tutaibiwa sana
 
Meridian siku hizi wako Fast kuProcess Withdrawing......Heko to them...

NimeNOTE ndani ya Masaa matatu..They should continue with this altitude..
 
Hili tatizo hata mimi liliwahi kunikuta, Nikawapigia, wakasema huwa wanatokea kwa wateja wa kwa tena ukiwa unatumia SIMU...wakasema jaribu kwa mara ya kwanza kuLOG IN kwa PC....

Ikishindikana njia hapo juu,wapigie simu...

Kuna jamaa walimtengenezea wenyew Akaunti.
Mkuu wewe huwezi nitengenezea?
 
a76d055c8e867e6fab2c64f11c4e8f35.jpg
Wigan kawa jipu kubwa tena la kutumbuliwa. Shenzi kabisa
 
Nasikia mkekabet sasa hivi ukishaplace bet huwezi kuona timu ulizocheza yaani mkeka wako kwa hiyo uamuzi wa kujua au umeliwa ni wa kwao wenyewe
wanaboa sana, yani mpk usubiri wao wakutumie message
 
1153935730139 Standard account
7/7
0169 13-07 20:00 Vasalunds-Pitea
Goals I HalfI1+
1.17
0750 13-07 20:00 Basel-Zenit
Goal In Both HalvesYes
1.54
1041 13-07 20:15 Rosenborg-Norrkoping
First Goal time28+
2.38
1042 13-07 20:15 Zalgiris-Astana
Home Team Goals1+
1.75
0001 13-07 20:30 Young Boys-M'gladbach
Goal In Both HalvesYes
1.40
0013 13-07 21:00 Partizani-Ferencvarosi
First Goal time28+
1.94
0768 13-07 21:00 Westerlo-Olympiakos
Goal In Both HalvesYes
1.50
Total odd30.57
Wachawi dah
 
Yaleyaleeee...... Ugali moto mchuzi moto ..maji ya kunawa moto..... Ni shidaaaa..... Ilibidi nivunje kanuni tu ya kubet 10000 kwa siku baada ya ile kumezwa ....nkatupia kokoro mzeeee...... Vasas kamtia mwenzake 9-0..... Aseee .....
Napoza machungu kwa kuangalia mechi hapa Atletico National v sao Paolo bonge la mechi
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-14-04-24-27.png
    Screenshot_2016-07-14-04-24-27.png
    27.1 KB · Views: 31
Yaleyaleeee...... Ugali moto mchuzi moto ..amji ya kunawa moto..... Ni shidaaaa..... Ilibidi nivunje kanuni tu ya kubet 10000 kwa siku baada ya ile kumezwa ....nkatupia kokoro mzeeee...... Vasas kamtia mwenzake 9-0..... Aseee .....
Napoza machungu kwa kuangalia mechi hapa Atletico National v sao Paolo bonge la mechi
Hali ni tete, bora na mie niangalie tu hiyo mechi maana usingizi umegoma na mkeka wenyewe nilokuwa naulinda unapumlia mashine Vasco Da Gama kafanya yake.
 
Hali ni tete, bora na mie niangalie tu hiyo mechi maana usingizi umegoma na mkeka wenyewe nilokuwa naulinda unapumlia mashine Vasco Da Gama kafanya yake.
Natafuta timu 10 za eufa euro kesho.... Niwape sare ya dakika 10 ...hazipungui point 3....
 
Back
Top Bottom