Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi kumbe ...... Nimeangali betslip zangu hapa..daaah..... Kwa vidau vyangu vya 5000 na10000 nakuta nimepigwa 3M na upuuzi miezi mi3 nimekula 1.6M ... Ni hasara tu tangu ligi kubwa ziishe..... Sipati picha ndio ningekuwa naeka madau Yale ya kina 500000, ningechizi aseee.....hapa kwenyewe niemandaa Mikeka kama 6 naicancel..... Kujiamini kumepotea kabisa
Ukiangalia bethistory utakata tamaa, juzi nulijumlisha nikakuta ndani ya wiki moja ninekula Mil 1.3 na kuliwa 2.7M nikakuta nina hasara ya 1.4 ndio nikastaafu
 
Ukiangalia bethistory utakata tamaa, juzi nulijumlisha nikakuta ndani ya wiki moja ninekula Mil 1.3 na kuliwa 2.7M nikakuta nina hasara ya 1.4 ndio nikastaafu
Mnanipa moyo mimi niliyeliwa laki mbili. Hebu nipeni uzoefu wenu, ligi ikianza August hela ni nje nje au kupigwa mfululizo kama kawa.
 
Mnanipa moyo mimi niliyeliwa laki mbili. Hebu nipeni uzoefu wenu, ligi ikianza August hela ni nje nje au kupigwa mfululizo kama kawa.
Uzuri wa ligi kubwa zikianza ...... Mechi nyingi sana ....ukaamua kuchukua mechi moja moja kila ligi EPL 1,LALIGA1, UFARANSA1, BENDESLIGA1,CHAMPIONSHIP 1,LEAGUE ONE 1,LEAGUE TWO 1,SERIE A 1, UBELGIJI 1, UHOLANZI 1, GREECE 1,TURKEY 1, DENMARK 1, hukosi pesa..... Na timu unakuwa at least unazijua .... Unajua nani anacheza nano achezi nani majeruhi, upinzani wa timu na timu , ...... Kipindi hicho ni vizuri kuliko sasa kipindi cha MASUKE SABA YA NJAA....
 
Hapo nimekusoma. Wasi wasi wangu ni odds wanazoweza kupewa timu ambazo zina asilimia kubwa ya kushinda. Isije ikawa mambo ya 1.02 odds.
 
Tatizo sasa hivi logo chache....MTU unachukua ligi moja mechi 5 .... Ngumu sana kupatia matokeo ya ligi moja mechi 5.... MTU anakupigia sijui Kumamoto Fukuoka Sapporo Corazo Osaka Hiroshima kityakiyusu tokyo vardy anaruka jeonbok ulsan seongham busan park anakuja Jiangsu shanghai luneng Guangzhou evergrade hebei chongquing ..... Yaaani unayababatiza matimu ya ligi moja weeeee....... Kisa huyajui unaotea badala ya kubashiri..... Lazima tupigwe tu hakuna Namba ingine..... Na nilivyonyegeka nshaweka 5000 nasubiri point 3-4 sikomi...pesa nliyoliwa ni Boma linasimama kuacha Leo ni uzembe....acha niendelee tu na dawa nimegoma staki
 
Hapo nimekusoma. Wasi wasi wangu ni odds wanazoweza kupewa timu ambazo zina asilimia kubwa ya kushinda. Isije ikawa mambo ya 1.02 odds.
Hamna mkuu..... Odds za Hivyo ni chache sana......ngoja nikupe sample baadhi ya ligi zimeshawekwa premier betting ....
 
Kuchanganyikiwa huku.... Reference number nimeingiza password..... Afu nimesend..... Naangalia meseji dooooooh...... Sijui watarudisha pesa ..... Sadaka
 
Hapo unakuwa umeingia kwenye web site ya nchi nyingine chakufanya google sport.premier.com/tz
Haha hah hah mkuu nimeishia kutizama tu ukila wamenikatalia kujoin jibu ni lilelile tu PRAYER NOT FOUND nimejaribu hata kufungua akaunti nyingine kwa emeil nyingine na kujoin bado jibu wamenipa lilelile japo niko activated,sijajua nakosea wapi

Hata hivyo nakushukuru.
 
Watabiri wanasema hivyo changanya na zako
bbf4afd41f503e8390a67083ba182d63.jpg
 
Yani ndio nimeliwa 10000 bila kucheza........ Mpaka nakosea kudeposit..... Nahitajika kupumzika kwa kweli....
kweli muhind hatari
mkuu tusubiri tu league kuu, maana huku kunyoroshwa kumezidi...... had kudeposit [emoji16] [emoji16]
**UCOMWI**
 
Haha hah hah mkuu nimeishia kutizama tu ukila wamenikatalia kujoin jibu ni lilelile tu PRAYER NOT FOUND nimejaribu hata kufungua akaunti nyingine kwa emeil nyingine na kujoin bado jibu wamenipa lilelile japo niko activated,sijajua nakosea wapi

Hata hivyo nakushukuru.

Hili tatizo hata mimi liliwahi kunikuta, Nikawapigia, wakasema huwa wanatokea kwa wateja wa kwa tena ukiwa unatumia SIMU...wakasema jaribu kwa mara ya kwanza kuLOG IN kwa PC....

Ikishindikana njia hapo juu,wapigie simu...

Kuna jamaa walimtengenezea wenyew Akaunti.
 
Hahaha..mie niko naskilizia makokoro yangu hapa, kama ni premier hawarudishi, ishawahi nitokea pia.
Unazidi nivunja moyo mdau ... Na customer care hao inavyolalamikiwa hiii ni sadaka ya DOMINCA nyingi ambazo sikwenda church......
 
Unazidi nivunja moyo mdau ... Na customer care hao inavyolalamikiwa hiii ni sadaka ya DOMINCA nyingi ambazo sikwenda church......
Tiari niko napumlia mashine, Kashiwa tiari weshafungana goli 3 kipindi cha kwanza na nimewapa under 4.5..duh
 
Back
Top Bottom