Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

74737338cef9987a0e0b92bf38206fc9.jpg



Kila nikiutazama huu nikimuona City roho yaumia sana
City kweli na usajili wote ule
Sijakusamehe na sitakusamehe milele City
 
Naanza kuwafurahia tena mkeka bet kwa kuchukua hatua ya kurudisha system ya awali ambapo sasa unaweza kuangalia tena bet slip na kuchek status za timu ulizoshinda kama won/lost.
Ila bado kitu kimoja tu,rangi ile ya zamani,mkifanya hivyo na kuongezea options zingine hapo mtakuwa the best

Yaap, hata mimi nimewaona leo.....Wamerudisha ile "Kuonyesha kama Mechi fulani ni Lost/Won"...Ni kweli pia warudishe rangi ya ukijani for Win na Red for Lost...ahahaaa...Rangi ina flavor yake bhaana....[emoji3][emoji3]
 
Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia. Wakati huo nilikuwa nipo kwenye simu yangu nachati na mtu Whatsapp. Basi ile nikasogea karibu kujua nini kinajili na watu washaanza kujaa. Yule mama kumbe kaibiwa simu. Mara kuniona mimi akasema simu yake aliyoibiwa mimi ndo nimeishikilia. Watu wakanivamia kuanza kunipiga. Bahati nzuri maaskari wakatokea. Wakatuchukua wakatupeleka polisi kijitonyama. Kufika Kijitonyama yule mama akaambiwa apige simu yake ikaonekana kwamba kumbe aliiasahau nyumbani sababu aliipokea mdada wa kazi. Yule mama alidhani mimi ndo nimemuabia simu sababu simu yake na yangu zinafanana. Sasa akaanza kuniomba msamaha. Polisi wakashauri kwamba tuelewane. Huwezi amini yule mama akataka kunipa milioni moja cash. Bahati mkojo ukanibana ikabidi niamke kwenye hii ndoto na kwenda kujisaidia. Yaani nimeudhika sana huu mkojo unenikosesha milioni moja. Sirudii tena kunywa maji mengi kabla ya kulala. Ili ni funzo kwa watu wote kabla hujalala usinywe maji maana unaweza kosa dili ndotoni..​
[emoji23] [emoji23]

Mbavu zng
 
Maombi yenu jamani. Nia yetu in moja adui wetu ni mmoja
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-09-20-57-59.png
    Screenshot_2016-08-09-20-57-59.png
    17.2 KB · Views: 32
Hata nikose mtaji,nitashare nanyi mikeka pale ninapodhani pana pesa wazee.

hapa pana odds kama 10 hivi na sure at 90%

WIGAN "WIN"
HAMILTON "Y"
HIRBENIAN "Y"
WALSALL "WIN"
All the best
 
Back
Top Bottom